truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Wenger sijui ana mpango gani pale katikati.
Babu mbishi, pale kati ndo matatizo. Arteta na Flamini hawa defensive midfield hawawezi kabisa. Hawana speed wala physique. Pia wachezaji wengi sana wako light weight.