Tukikwepa kipigo leo tutakuwa tuna bahati sana....
Tim tunayo ila hatuna kocha wakuu
Mmmmh,,,,,,sijui nilale tu, maana huu mpira tunaocheza haueleweki kabisa
Na hakikwepeki...teyari wametutandika kimoja. Bado goli 2 au 3.
kwa kweli lile goli ni uzembe wa hali ya juu..inakwaje mabeki wanashindwa hata kumwangusha halafu wanamsindikiza nusu uwanja mzima? enzi zetu tunacheza mwalimu alikuwa anakuwa refa na kiboko pale lazima ule fito safi hapo hapo ground.
Tukikwepa kipigo leo tutakuwa tuna bahati sana....
Ngoja tusubiri 2nd half tuone itakuwaje, kuna umuhmu wa Cazorla kuingia na Ozil kupumzika.
But all in all tukiweka Unazi pembeni jamaa walistahili kupata goli kwa kipindi cha kwanza so lets wait for the 2nd half tushuhudie itakuwaje.