YNWA ndo wapi??? Mi ni Arsenal damu toka enzi za Ian wright. Miaka ya 1998, nikiwa dogo kabisa enzi hizo! Huko YNWA eidha umenimix na mwingine au uliniquote vibaya. Ian Wright ndo alinivuta Arsenal, Henri akaja pigilia msumari. Wachezaji hawa ndo walinivuta Arsenal: Seaman, Dixon, Winterburn, Bould, Adams, Viera, Petit, Wright/ Anelaka/ Henri, Overmarz, Berkamp nk. Hili chama hakukuwaka na stress, stress ilikuwa kama dk 45 za kwanza bado mtu hajakalishwa. Alikuwa hatoki mtu. Kisha The Invincibles. Dah! Niko nolstagic hapa, remembering good old days. Ni Arsenal all the way, hamna chembe za Manu ndani yangu. Gooner till I die no matter what!! Nafikiri yule manager wetu Graham alikuwa ni monster. Ye ndo alimuandalia ukuta usiopenyeka Wenger kabla hajaondoka. Sasa hivi babu hajielewi na defence. Stori hii yote ni kukuthibitishia mi Arsenal, usinivute huko.