Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Bora Pod aingie Arteta out ... ... Welbeck ... .... ..... ..... ...... . not a great night for him.
Welbeck tumpe muda.....
Bora Pod aingie Arteta out ... ... Welbeck ... .... ..... ..... ...... . not a great night for him.
Wenger ni balaa, sijui huwa anafikiria nini aisee. Yaani simuelewi kabisa sometimes.
WELBECK!!khe khe khe tuliwauzia garasa mkuu
Calm down buddies, we are the gunners!!!!
Wenger ni balaa, sijui huwa anafikiria nini aisee. Yaani simuelewi kabisa sometimes.
Baada ya muda mtamkubali.....
Mkuu Welbeck hahitaji muda, alikuwa hachezi kwenye ligi ya nje yupo EPL muda wote, wachezaji wanaopewa muda ni wale waliokuwa wanacheza ligi tofauti. He should refrain from media hype na kujiona bora (leo kakosa two clear chances) kwenye EPL na Manc alikosa sitter ... .... .. angalia Alexis muda gani amekuwa kwenye EPL?Welbeck tumpe muda.....
FT BD 2-0 Arsenal
man u mnakuja kujiliwaza huku,,,,,hahahahaaah.
Hongera kwa BVB Walistahili ushindi kutokana na jinsi walivyocheza.
Lets go to Colney to prepare for the next game
COYG.
Lakini bado nina imani katika hili kundi tunavuka.