Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu Welbeck hahitaji muda, alikuwa hachezi kwenye ligi ya nje yupo EPL muda wote, wachezaji wanaopewa muda ni wale waliokuwa wanacheza ligi tofauti. He should refrain from media hype na kujiona bora (leo kakosa two clear chances) kwenye EPL na Manc alikosa sitter ... .... .. angalia Alexis muda gani amekuwa kwenye EPL?

.......it's all about confidence bro, he'll be good for us, yes.... Anastahili few more games aweze ku gel na wenziwe plus few 'wenger magic' words....

I still rate him above Giroud na Sanogo. #COYG ......!
Win or lose, together we stand!
 
Mkuu Welbeck hahitaji muda, alikuwa hachezi kwenye ligi ya nje yupo EPL muda wote, wachezaji wanaopewa muda ni wale waliokuwa wanacheza ligi tofauti. He should refrain from media hype na kujiona bora (leo kakosa two clear chances) kwenye EPL na Manc alikosa sitter ... .... .. angalia Alexis muda gani amekuwa kwenye EPL?
Leo umekua mpole utafikiri umepakwa mafuta ya mawese. Na utasubiri miaka 25 kuingia final ya michuano hiii.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Yeah kuvuka tutavuka mkuu but haipaswi tuvuke kama mshndh wa pili maana ikitokea hivyo ndio yatatokea kama ya misimu miwili iliyopita.

.........worry you not, tutavuka kama kawa!.....mind you, it wasnt an easy game. Did you really expect us to win today? Honestly?....
 
Kama nilivyosema last weekend (jmosi ) msimu huu Arsenal bado hatujacheza mpira wa kuridhisha karibia mechi zote maybe kidogo vs Manchester City tu. Leo kuanzia mwanzo hadi mwisho tulikuwa tunakimbiakimbia japo tulipata nafasi 3 za kufunga. Something got to be done
 
mkicheza hivi kama leo jumamosi mnafungwa na aston villa

Hutakiwii kuishia hapo mkuu gusa na upande wa pili basi kwamba na hao Aston Villa wakichezaje vipi kama wao wakicheza vibaya zaidi ya sisi??
Mpira unachezwa uwanjani so lets wait and see, Maybe kama umeamua kuwa TB Joshua au Sheikh Yahaya Jr.
 
Duh! Nimesoma jinsi goons wanavyotia huruma hadi mbavu sina.

Mara oh Ozil hafai; Welbeck anahitaji muda zaidi; Wenger hafai; na porojo nyingi kama hizo.

Poleni sana goons. Nafikiri bado mnakumbuka ahadi yangu. Ngoja niwakumbushe tena:

"Arsenal wakishinda UCL msimu huu naacha kushabikia Man United na nahamia Arsenal".

Bado ahadi ipo pale pale.
 
Kuna watu na timu zao wanachezea mchangani ati na wao wamekuja kuonyesha pua humu, Aibu - Gunners wanacheza CL wao chijui wako wapi? Wanaingia kwa aibu - The Red Cross Team nendeni mkaugulie MK Dons. Mpira tumefungwa na hii ni halftime tu watakuja Emirates hapo ndipo watakapofahamu zipi mbivu .... ...... .... .... wala hatuna shida.
 
Tumekuja msibani kutoa pole
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Dah, leo soka limetugomea tena.... In Wenger We Rust!!!!!!

Yaani ndugu yangu tukikutana na timu kubwa ndo tutegemee haya, na hasa tukikutana na timu yenye counter attck nzuri kama Madrid au Chelse, itakuwa balaa. Leo tungeweza pigwa hata tano. Wenger bado yupo miaka ya arobaini na saba. Mambo yamebadilika. Wachezaji wote tulionao wa kushambulia, kama defence na defensive midfield hamna, ni kutwanga maji kwenye kinu. Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom