Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inaniuma, ila sina budi kukubaliana nawe. Kocha hatuna. Tuna director of finance ktk mambo ambayo hayahusiani na moja kwa moja na kucheza mpira kiwanjani. Wenger yuko sooo out of touch with the current games, always outsmarted by young managers. Tulivyopigwagwa nane na Manu, sita na Mancity, tano na liver, sita na chelsea, walitumia very same tactics, Pressing us high up the pitch na kutufanyia counter attacks za kufa mtu. Wenger hajajifunza kitu hapo. Bado anatumia tactics hizo hizo tulizoangamizwa. Jana ilitakiwa yawe maafa mengine. Tuna bahati arsenal. Amemuaharibu Ozil, kamuharibu Arteta (sio yule wa Everton), anamuharibu Podolsi, Carzola na anawakumbatia kina Wilshire, Szeschey!! Sioni tukichukua kombe kubwa tukiwa na wenger. Tutaishia Carling cup na labda FA kama tuna bahati kwenye draw kukwepa timu kubwa.

Asante kwa kuona hilo, nakupongeza kwa kuona udhaifu wa team yako, sio wale wengine wanaofurahia tu bila kujua technicality ya timu.

Kocha wa kubadilisha, EPL ya miaka hii sio ile ya kuchukua msimu mzima unbeaten, mambo yanabadilika if you cant spend in the market show us how well you can organise your team kama jurgen klopp.

You need proactive coach.

C.C BAK rubaman Nzi Wacha1 RRONDO privacy Ngongo @mndenereko
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kuona hilo, nakupongeza kwa kuona udhaifu wa team yako, sio wale wengine wanaofurahia tu bila kujua technicality ya timu.

Kocha wa kubadilisha, EPL ya miaka hii sio ile ya kuchukua msimu mzima unbeaten, mambo yanabadilika if you cant spend in the market show us how well you can organise your team kama jurgen klopp.

You need proactive coach.

C.C BAK rubaman Nzi Wacha1 RRONDO privacy Ngongo @mndenereko

same old story for the past 17 seasons!!!!!! hamna jipya.
 
Siku mkibeba UCL, chelsea itakuwa nayo 5

Mafanikio ya Gunners hayatokani na sugar daddys wauza unga na mafioso, thats the difference. Tofautisha class ambayo huwezi kununua upo hapo?

Sasa hivi mahesabu hasubuhi. EPL na UCL hamna chenu. Ikifika january mmechakazwa tayari.

Siioni arsenal ya kubeba kombe msimu huu.

Sasa hizo hesabu si uwaambie wachezaji wenu na manager wenu mmeshakung'utwa kama gunia in two matches na mediocre teams MK Dons etc .... .... yaani nyani haoni kundule khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wenzio tupo halftime BD watakuja Emirates we bado unaona gele khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Unatia aibu tena baada ya kubadili ID yako. Phew! Mambo ya kubeba kombe tuachie wenyewe yanakuhusu nini wewe? Ndio umbeya wenyewe huo na umburukenge.

BAK upo??

Msalimie ndugu zangu rubaman na Wacha1

Usiwe na shaka na Gunners ... .. .you can't buy class. Nyie mnacheza lini? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Dah! Yaani alitaka kabisa kurudi nyumbani babu akamfungia mlango! Angemchukua tu hata kama anadai Ozil yupo. Tungekuwa na squad kubwa zaidi. Alafu INANIUMA sana ninapomuona ndani ya uzi wa Chelsea akipiga ma-assists. Ila ndo mambo ya hindsight haya, tungejua.

Nyumbani wapi mkuu? Cesc alijilipia kwenda nyumbani kwao kimemshinda nini? He is not bigger than Gunners mwache aende zake we do not regret, only fickle minded people will care. He was not there when we needed him, he can go to hell.

Ndo kwanza Wenger kasign hadi 2017..... kazi tunayo bado!!!!

Thats why analipwa more than £8 million a year.

Van Gal alisema Welbeck si mfungaji mkaja juu kama moto wa kifuu jana mmejionea wenyewe.

Who is Van Gaffee?

Asante kwa kuona hilo, nakupongeza kwa kuona udhaifu wa team yako, sio wale wengine wanaofurahia tu bila kujua technicality ya timu.

Kocha wa kubadilisha, EPL ya miaka hii sio ile ya kuchukua msimu mzima unbeaten, mambo yanabadilika if you cant spend in the market show us how well you can organise your team kama jurgen klopp.

You need proactive coach.

C.C BAK rubaman Nzi Wacha1 RRONDO privacy Ngongo @mndenereko

Lini ulikuwa kocha wewe? Au ndio baraka ya kubadili ID JF! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ati bulldog, bulldogs of shit .. .... unaingia kama kinyonga na analysis za kimburukenge na umangimeza. Nenda kasifie timu ambayo haipo kwenye haya mashindano na kikubwa kinachoonekana ni kufungwa na timu za mchangani.

same old story for the past 17 seasons!!!!!! hamna jipya.

Kwa hiyo umefuata nini kama ni same old story? 17 years kama huwezi kudeliver huwezi kuwa kwenye kazi , hizo chuki mlizonazo hazitamuondoa Prof Ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo wamejaribu wengi wenye more financial power lakini Prof yupo pale pale ... .... ... ... COYG


Tumefungwa mechi moja basi imekuwa nongwa .. ... .. you will follow this club for the rest of your lives.
 
Asante kwa kuona hilo, nakupongeza kwa kuona udhaifu wa team yako, sio wale wengine wanaofurahia tu bila kujua technicality ya timu.

Kocha wa kubadilisha, EPL ya miaka hii sio ile ya kuchukua msimu mzima unbeaten, mambo yanabadilika if you cant spend in the market show us how well you can organise your team kama jurgen klopp.

You need proactive coach.

C.C BAK rubaman Nzi Wacha1 RRONDO privacy Ngongo @mndenereko

Well said Bulldog | Gunners nlishindwa kuelewa malengo yao kwa mechi ya jana maana kiuhalisia wakiwa UCL mechi za ugenini huwa wanaperfome poa zaidi ya za nyumbani hivyo ushindi ndio kitu kilitegemewa na wengi....

Kwa Jana defense ilikuwa mbovu na kuruhusu BVB mashambulizi mengi ambayo kiukweli 2-0 kuwa final score ni kitu cha Arsenal Fans kushukuru.....

Tukienda pale mbele palikuwa butu zaidi kwa kiranja wa zamu yule mkali wa amsha amsha golini "the master of midadi" na amsha amsha zake golini utasema anafunga vileee. Hapo kupata goli labda akutane na beki / kipa wenge ili awe anazipata own goals....


ImageUploadedByJamiiForums1410943481.159291.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1410943535.506242.jpg

*****

Grafu inaonesha Arsenal total shots * 5 = Borussia Dortmund total shots

*****

Kama wengi humu ndani wanavyosema inabidi apewe muda wa ku improve ila pale OT alipewa na akishindwa.... All in all maybe Wenger has a cure, who knows??!!
 
Last edited by a moderator:
BTW kwa wasiofahamu BD walitufunga Emirates mwaka jana mkachonga sana, lakini tulipowachabanga kwao mlinywea kama kuku waliomwagiwa maji. Mark my words watakapoingia Emirates tutawapa majibu yao.
 
nimekuona kule YNWA tena upo huku ! bila shaka wewe ni 'Man useless'
mi siyo hao mambulula bhaana, mi nipo kule kwa matop assister na matop scorer ...........

.......duuuh ! pole mkuu, nilikuwa nam-quote dogo mmoja anajita Grand PA
mkuu Ally Kombo usirudie tena kuniita hivyo! ........... wengine 2po nyumbani tunasubiria mafao yetu ya EAST AFRICA tunajiliwaza na JF kupunguza machungu y kupigwa mabomu ya machozi. so ukiniita hivyo unanikumbusha ujana wangu wakati napiga kazi kw bidii leo hii 2naonekana ha2na thamani.

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
Duh! Nimesoma jinsi goons wanavyotia huruma hadi mbavu sina.

Mara oh Ozil hafai; Welbeck anahitaji muda zaidi; Wenger hafai; na porojo nyingi kama hizo.

Poleni sana goons. Nafikiri bado mnakumbuka ahadi yangu. Ngoja niwakumbushe tena:

"Arsenal wakishinda UCL msimu huu naacha kushabikia Man United na nahamia Arsenal".

Bado ahadi ipo pale pale.

Wewe baki huko huko Man7 ukija huku utatuletea kipindupindu
 
Hivi kwani ni lazima kila siku ozil aanze! nikweli MTU kama rosicky na oxlade ama fundi carzola hawawezi kucheza nafasi yake na ikanoga tu!aaaaargh

Yani unakuta hajitumi kwenye kukaba,anakua hayuko mchezoni kabisa,

Kwanini Wenger anamkumbatia sana?na mbona amemsahau Anko tom kabisa dah!

Ozil anaonyesha ufaza arsenal, nadhani anaamini kwamba panga pangua lazima awemo-ni muda sasa apangwe kulingana na juhudi anazoonyesha sio kutokana na jina!!
 
Ozil anaonyesha ufaza arsenal, nadhani anaamini kwamba panga pangua lazima awemo-ni muda sasa apangwe kulingana na juhudi anazoonyesha sio kutokana na jina!!

hata mikataba inawalinda sana masupastaa wanapohamia tim flani kama ozil kuna kipengele kinamlinda kuwa kama yupo fit lazma aanze first eleven
 
Dah! Yaani nikikumbuka jana kibanda umiza kitaani kwetu Arsenal tumetaniwa saaaaana jana. Leo ngoja nijipange na koo langu, naenda weka mchanga kwenye pilau endapo kutakuwa na pilau na 'kumwaga' upuppu. Alafu Manu ndo wenye domo kubwa licha ya kwamba hawapo. Pia nadhani watu wengi kwenye vibanda umiza Arsenal na Manu ndo timu kubwa. Yaani utakuta inacheza Chelsea na timu nyingine, mtu anaitania Arsenal, inacheza ManShitty na mwingine, wanatania Arsenal, inacheza Manu na mwingine, inataniwa Arsenal. Ukiona wanakujadili sana ujue wamekukubali. Hii ni kwa vibanda umiza vingi huku uswaz, COYG.
 
Dah! Yaani nikikumbuka jana kibanda umiza kitaani kwetu Arsenal tumetaniwa sana. Alafu Manu ndo wenye domo kubwa. Alafu nadhani watu wengi kwenye vibanda umiza Arsenal na Manu ndo timu kubwa. Yaani utakuta inacheza Chelsea na timu nyingine, mtu anaitania Arsenal, inacheza ManShitty na mwingine, wanatania Arsenal, inacheza Manu na mwingine, inataniwa Arsenal. Ukiona wanakujadili sana ujue wamekukubali. Hii ni kwa vibanda umiza vingi huku uswaz, COYG.

vibanda umiza toka unbeaten henry alivokua anawafanya hawawez sahau ndo maana kila mtu anachuk na gunerz
 
kwa timu yenu hiyo mbovu, sidhani kama itapita group stage so siwezi kula ......... foward mwenyewe tokea nimeanza kumjua hajawahi kubadilisha staili ya nywele! SHABARANSI

Grand PA

Hakuna mtu kama huyu duniani, tunayemjua anaitwa SHABA RANKS
 
1410818564910_wps_66_LUTON_ENGLAND_SEPTEMBER_1.jpg



1410817165413_wps_54_ST_ALBANS_ENGLAND_SEPTEMB.jpg




1410817428372_wps_60_ST_ALBANS_ENGLAND_SEPTEMB.jpg


Mtamkoma mwaka huu ... .. .... ..COYG
Kwa kweli tutawakoma,jana mmeanza kutuonyesha makali yenu

lazima Dortmund apakatwe.........
Tumeshuhudia jana kapakatwa ahsanteni kwa hlo
Arsenal leo tunakutana na Borussia
Dortmund ugenini michuano ya
Champions League kundi D
Mathieu Debuchy ni majeruhi na
Calum Chambers ambaye anaweza
kucheza beki mbili uwepo wake ni
50/50 kwa kua anasumbuliwa na
tonsils.


Beki mbili pekee aliyejumuishwa
katika kikosi hicho ni Hector
Bellerin, na hivi ndivyo Wenger
anavyomzungumzia:

'Bellerin ni mvulana anayejielewa.
Hatishwi na presha. Hilo ni
muhimu ukiwa bado mvulana.
Kubadilika (kukaba na kushambulia
dimbani) kwake ni bora kabisa.
'Ni mwepesi na ana kasi na pasi
zake za mwisho ni nzuri. Anakosa
uzoefu lakini ni mchezaji hatari
sana.'

Bellerin amecheza mechi moja tu
ya nguvu akiiwakilisha Arsenal;
michuano ya the Capital One Cup,
hajawahi cheza EPL wala FA cup na
leo kwa mara ya wkanza tukiwa
ugenini anaweza kucheza
Champions League dhidi ya
Dortmund dimbani kwao
Westfalenstadion.

Nilimshuhudia akiwa anapandisha timu ni mzuri kwa kweli ana kasi kuliko walcot.

Cheers tukutane Ujerumani

Man u nawakaribisha maana hamna timu huku

#coyg
tukaribie nini sasa??,kpgo ama??

Wale vijana wa In Van We Rust hatuwahitaji kabisahapa,wasubiri may be next season if they'll make it!!!
bora kutokuwepo ama kuwepo na kuaibishwa??
I see we borrowed the Chelsea bus today or at least so far
Atleast you are being honest with yourself
Accuracy ya Welbeck bado ndogo sana
Ndo maana tukamuuza
Webeck alitakiwa kuzamisha lile ... .. .. .
atazamisha mech inayofuata usijali mkuu!!
 
Back
Top Bottom