Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,020
- 9,177
Ile kutua Emirates Welbeck kafunga magoli 2 kwa #TeamThreeLions huu ni ushuhuda halisi kuwa Man Utd walikuwa wanamdumaza. Nina uhakika tukija Old Trafford Welbeck atafunga hat-trick na nyongeza
Cc: RRONDO, Nzi, Belo,Privacy,DonDonald,Bulldog,Mbu,Pazi
BULLY anasema dogo akitupia dhidi ya Manchester inatosha kabisa.