Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1409837019651_wps_39_epa04383320_British_Premi.jpg



1409837045299_wps_52_NYON_SWITZERLAND_SEPTEMBE.jpg


There is only one prof .... .... .... .... COYG


Body language .. .. .. . .. ananikumbusha kijana machachari kutoka Mozambique .. .Samora Machel .. .. the guy was ready anytime anywhere.


Hapo kama wewe ndio mwajiri lazima utamwajiri prof ... .... ... full mikoba ready for work, wengine mazezeta tu wamesingiziwa .. ... ... wanajaribu kwenda kubahatisha kwenye interview .. ... .. patamu hapo ... ..
Go go go
Prof .. ... .. show them ... ..



BTW nachikia Peligrin alisahau kufunga mkanda khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee utakatika on the 13th this month pale Emirates ... .... ..
 
Kweli maisha bila unafkia hayaendi,wakati yupo Man U walikuwa wanasema hajui,mara ooh Shaba Ranks,mara cjui nn.Ila kwasasa yupo kwao ndio kageuka fundi,mara wanamfananisha na Henry,mara anajua kama Pele

Dah,kweli maisha bila unafki hayaendi
 
mimi ni man utd lakini nimesikitika sana WELBECK kuondoka,huyu dogo atakuja kuwa success sana arsenal na man utd tutajuta kumuuza! hakuwa mfungaji sana man utd kwasababu alikuwa hachezeshwi sana na hata akichezeshwa anafanywa workhorsed kukakaba sana na ku harrass mabeki....kama atapewa nafasi kama anavyopewa sanogo WELBECK atafunga sana hapo arsenal....ana speed sana na ni mzuri wa one-twos
Duh Arsenal mulipofikia ni pabaya kweli, yani mpaka mtu anaona haibu kujisema Club yake? Simchezo!!!
 
Wakuu wa Gunners kuna mtanange wa ladies leo ......... against Notts County ... .. ..


gun__1404460151_scott_alex2.jpg


gun__1405324662_scott_ladies.jpg


Alex Scott

Enjoy ... ... ... .
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wakuu wa Gunners kuna mtanange wa ladies leo ......... against Notts County ... .. ..


gun__1404460151_scott_alex2.jpg


gun__1405324662_scott_ladies.jpg


Alex Scott

Enjoy ... ... ... .

u better enjoy that coz its ur only chance to win a league title!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ile kutua Emirates Welbeck kafunga magoli 2 kwa #TeamThreeLions huu ni ushuhuda halisi kuwa Man Utd walikuwa wanamdumaza. Nina uhakika tukija Old Trafford Welbeck atafunga hat-trick na nyongeza

Cc: RRONDO, Nzi, Belo,Privacy,DonDonald,Bulldog,Mbu,Pazi
 
Back
Top Bottom