Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nasikia wana mgomo baridi dhidi ya Martino, kocha wao!

Wanamuonea tu,management ilifanya uzembe kutofanya usajili.kwenye defence wakamsajili Neymar ili Madrid wasimsajili
 
Wanamuonea tu,management ilifanya uzembe kutofanya usajili.kwenye defence wakamsajili Neymar ili Madrid wasimsajili

Afu Barcelona ni ageing team, haijabadili staili ya uchezaji tangu Pep aondoke.
 
Hongereni jirani zangu!

Komaeni angalau kabati ing'ae Kidogo na FA cup!
 
article-2603084-1D0F48C700000578-552_964x386.jpg


Nasikia ati Gunners kapoteza mechi ..... ...
Khe khekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hello Gunner.

Hatimaye tumefika kileleni. Kazi iliyopo kwa sasa ni kuweka alama chanya ya mwisho katika ulimwengu wa soka kwenye FA Cup.

Tumejikongoja katika mechi hii lakini hatimaye uzoefu wetu katika medani ya mpira wa miguu umetufanya kufika kileleni.

Hakuna sehemu ya mchezo nisiyoipenda katika mpira wa miguu kama sehemu ya maamuzi kwa kupigiana penati. It was psychological torture!.

Kuna watu hapa kazi yao ni kulalamika tu. Kuna wengine bado wanalalamika kuhusiana na kikombe hiki pamoja na timu yetu kufika kwenye fainali ya FA Cup. Huwezi kulalamika kuhusu uchezaji wa timu kwenye kikombe cha FA CUP wakati timu iko kwenye fainali. Nitaelewa kama malalamiko yanatokana na timu kushindwa lakini siyo kufanikiwa kufika kwenye fainali.

Kwangu mimi sijaweka matumaini sana ya kuchukua kikombe hiki kwa sababu wiki tano kuanzia leo inaweza kubadilisha mambo yote kuhusiana na afya za wachezaji.

Tunawaachia football pundit uwanja wao. We don't care!. We'll back at Wembley on 17th May 2014 for the final.
 
ila wenger aondoke tu hana jipya tena

Halafu wewe mwenye jipya uwe kocha safi sana khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

FYI Prof haendi kokote at the moment, Wenye ngawira wanatengeneza mpunga na wamemwambia aendelee kuongoza kikosi cha Gunners weye ulie tu endelea kupiga tarumbeta na ma-pundit bandia khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Prof ataondoka akipenda mwenyewe .... ...... .... come to the Emirates and enjoy!
 
Unamuona alivyomwepesi huyu dogo?

Dah wee utakua na akili kama za Wenger..team ilipo nikutafuta forward mweny exprinc sio kutngeneza vipaji..kina Gervinho walishia wapi..nahisii suala kubwa nikutafuta mtu mwenye uwzo nakufanya mabadiliko sioo mambo yakusubiri 8years trophiless
 
Wenger kuongeza mkataba next week

Vipi hupendi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Dah roho inaniuma wigan kufungwa utafikiri kafungwa man u dah kweli unafiki kazi.

Na bado khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Dah!..........

Wenger atasingizia majeruhi??

Mkuu usiwe na shaka kama majeruhi wapo watakuwepo hawaendi kokote .... ..... .. na uzuri wa soka huwezi kufahamu matokeo hadi wacheze.


Heheee hata kama Arsenal ikifunga Wenger aondkee tuuu


Then wewe uchukue nafasi yake khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtakonda sana mwaka huu. Ubinafsi na umimi. Prof kwa sababu ni mfaransa media ya UK wamekuwa against him for years hata kuanzisha vipindi vya kuijadili Gunners pekee. Mchezaji akiifunga Gunners anakuwa hero .... maajabu haya ...from Michu, Carrol etc lakini hata huyu manager wa Everton sasa naye ni hero kisa kaifunga Gunners. When you are a team expect to lose some of the games, but win more and build a compact team. Nyie pigeni Tarumbeta lakini Prof ataondoka kwa hiari yake sio wanafiki na wapiga utingo kama wewe.

Bora umeonekana leo! Tatizo ni Wenger tu...miaka 9 bila kombe! Huyo ni kocha ama?!

Unafikiri vizuri kama Mo No khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wigan have massive experience of playing at Wembley than Arsenal in recent years. They can capitalise on this.

We saw their experience, they managed a soft goal given by inexperienced referee but by the end of the day we showed them that we can play and win.
 
Vipi unataka kwenda uwanjani nini? Naona umepania Mchangieni Wacha1 Hiyo game Sema msimchangie siku hizi hakai hapa Kama Mbu bora wakupe wewe au Balatanda ticket! Piere. Fm naye mumchangie Mbu kaenda kuongeza damu game ya Leo imempunguza mwili. Hehehehe.

Teh teh teh teh una masihara na Mbu wewe!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
nishapoa sasa hivii unafiki wangu naupelekka kwa everton kuwaombea msiingie nafasi ya nne

Duuh! Kweli unafiki mbaya nakumbuka kipindi flani mlikuwa mnamuombea Everton njaa ili mkachukue nafasi yake sasa baada ya mambo kuwa magumu mmesanda mmeanza kuwasuport Everton.
Teh teh teh teh teh teh! Kazi kwelikweli.
 
Vipi unataka kwenda uwanjani nini? Naona umepania Mchangieni Wacha1 Hiyo game Sema msimchangie siku hizi hakai hapa Kama Mbu bora wakupe wewe au Balatanda ticket! Piere. Fm naye mumchangie Mbu kaenda kuongeza damu game ya Leo imempunguza mwili. Hehehehe.

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu unaishi kwa michango? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chema nikuchangie kiasi gani ....... .... siishi kwa michango and it will never happen khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
5AC1D4285BBE00128FC55CDF6B.jpg


Nafahamu
mburukenge wapo kibao wanachungulia tu khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeee prof anawaliza na wataendelea kuchungulia chichi
tinachonga mbele .... .... .. COYG
 
Back
Top Bottom