Onenge
Senior Member
- Aug 28, 2013
- 198
- 163
Wigan wanapata penati.
wametufunga hawa.
Wigan wanapata penati.
Daaah hii timu jamani imerogwa sijui..
dakika ya ngapi?
Hii timu sasa hivi haina muelekeo kwa kweli....
Aliyeturoga amehskufa nadhani....
Same old story......
#TumeshazoeaSisi
#NomaSana