Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
nishapoa sasa hivii unafiki wangu naupelekka kwa everton kuwaombea msiingie nafasi ya nne
Hata watambike kwa mganga wenu hawawezi kumaliza EPL juu ya Gunners, we have got Prof na hao Evertonian wana nani ..... .... ... Kocha aliyefukuzwa baada ya kushuka daraja ... .... .... ... Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Kuna vitu ambavyo haviwezi kutokea, endelea kuota ndoto za Abunuwasi..