Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni hizi redio za mtaani ndo nimeskia kaka, wanasema eti yule wa everton, sijui. Kwani bado hajaongeza mkataba si ni wiki hii?

Ndio kaka inasemekana (habari za mtaani) Martinez wa Everton ndio anaweza akawa mrithi wa babu Wenger. Anaweza akawa mbadala mzuri wa Wenger.........ila nasikia babu wenger anaongeza mkataba mwingine wiki hii...
 
Wakubwa tujiandae kugombania Europa League msimu ujao... Ndio nimeshakata tamaa, mnisamehe.

Mkuu ligi bado sana, Je Everton anaweza shinda game zote alizobaki nazo??Kikubwa mjipange kutokupoteza ila hatma yenu anayo yeye
 
yule mchezaji fara kweli kachezewa faulo ya penalty na sagna badala ya kuanguka eti kajikaza ----- kweli yule
 
arsenal washagongwa kimoko Naona kimyaaa uzi unautulivu na AMANI ya hali ya juu
 
Dah hii tim sio ya kucheza uefa. Wabovu sana arsenane..
 
Mlikimbia?...rudini kwenye uzi wenu podolski kawasawazishia.
 
Back
Top Bottom