Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

QUOTE: Roy Keane: "These Arsenal players need a reality check. They're celebrating beating a Championship team." http://t.co/FiP6vtOSD4

Well said Keano...
Hivi kwa mfano, ingekuwa Man Utd ndio mmeifunga Wigan, msingeshangilia kuingia Final?....

Keane naye kama Kocha hana tofauti na Wenger = Failures
 
Hivi kuna timu ambayo haijawahi kushangilia kuingia fainali yeyote ile? Mtu kama Keane anayejua maana ya kombe la FA asingepaswa kusema alichosema. This is the oldest knockout competition in the history of England football competitions maybe in the World, Arsenal deserved to celebrate with their fans. Hata kama Arsenal wangeifunga a Conference team kushangilia ni wajibu. Kitu Arsenal walichofanya ovyo ni kushangilia 4th spot last season lakini hili la kushangilia kuingia Fainali si jambo la kuchekwa wala kuona aibu.
. umesema kweli Kabisa mara ya mwisho LFC tulishinda na. Cardiff kwa. Penalt Final wacha tu Arsenal washangilie wangefungwa si wangenuna? Alichoongea Roy Keane kanifurahisha yeye mwenyewe Mie hata niifunge timu daraja la 100 nitashangilia sababu tukifungwa watashangilia wao. Japo Mie sio Arsenal hapo Roy Keane kachemsha.
 
Kama Arsenal watalibeba hili kombe media za UK zitabadili wimbo wa Trophyless season wataanza kuimba 10 years since Arsenal won the league blah blah blah..Just Watch and pray Arsenal win the FA cup.
 
Eh! Wenger na Maureen si ndiyo 'madarling' wa English media?!?
 
Hivi kwa mfano, ingekuwa Man Utd ndio mmeifunga Wigan, msingeshangilia kuingia Final?..../QUOTE]
Kula leki Arsenal can't win against these haters. Endapo tutalibeba hili kombe bado watatusimanga. Kitu kimoja ambacho Wachezaji wa Arsenal wanachoniudhi ni hizi f'ing Selfie kama teenagers with no brains..
 
Duh Barcelona nae kapigwa...huu mpira kweli kichwa cha mwendawazimu
 
Hivi kuna timu ambayo haijawahi kushangilia kuingia fainali yeyote ile? Mtu kama Keane anayejua maana ya kombe la FA asingepaswa kusema alichosema. This is the oldest knockout competition in the history of England football competitions maybe in the World, Arsenal deserved to celebrate with their fans. Hata kama Arsenal wangeifunga a Conference team kushangilia ni wajibu. Kitu Arsenal walichofanya ovyo ni kushangilia 4th spot last season lakini hili la kushangilia kuingia Fainali si jambo la kuchekwa wala kuona aibu.

Unajua kwann walishangilia ile 4th position?
 
Hongera Asenane kwa kuingia final ila nawakumbusheni kasomeni ubao wa msimamo kuna mchawi anataka mshiriki europa!! Hahahahaha!
 
Hadi Mei 17, Koscielny, Ozil, Wilshere nadhani watakuwa fit plus bonus ya Diaby tutakuwa na nafasi nzuri katika selection ya wachezaji.

Metersacker,Ox,Sagna,Ramsey na Sanogo watarudi wodini
 
Kumzidi Spurs.

Sawa umepatia lakini jibu lako halijajitosheleza... kumbuka spurs game alichemka na si tukihitaji ushindi tu, manake hata si tungedroo ndo ilikuwa kushney...tukihitaji ushindi wa aina yoyote ile given kwamba tukishinda hata spurs angeshinda basi tungepita tu
 
Hivi kwa mfano, ingekuwa Man Utd ndio mmeifunga Wigan, msingeshangilia kuingia Final?..../QUOTE]
Kula leki Arsenal can't win against these haters. Endapo tutalibeba hili kombe bado watatusimanga. Kitu kimoja ambacho Wachezaji wa Arsenal wanachoniudhi ni hizi f'ing Selfie kama teenagers with no brains..

Come on, don't be harsh on the KIDS...it is their first cup final ever!
 
Metersacker,Ox,Sagna,Ramsey na Sanogo watarudi wodini

ebana siwezi kubisha kwa hili, inaweza kutokea. Arsenal wana rekodi mbovu kwa kupata majeruhi wengi, nadhani kuliko top teams zote za England
 
. umesema kweli Kabisa mara ya mwisho LFC tulishinda na. Cardiff kwa. Penalt Final wacha tu Arsenal washangilie wangefungwa si wangenuna? Alichoongea Roy Keane kanifurahisha yeye mwenyewe Mie hata niifunge timu daraja la 100 nitashangilia sababu tukifungwa watashangilia wao. Japo Mie sio Arsenal hapo Roy Keane kachemsha.

Keane amesahau kwamba hakuna mchezaji yeyote wa Arsenal (current squad) aliye na medali ya EPL,Carling au FA hii ndio only chance iliyopo huenda ikawachukua tena miaka 10 kupata hiyo nafasi
 
Back
Top Bottom