Eh! Kumbe kuna mahesabu kama hayo? Mimi sikuyasoma hayo!
Basi kumbe Arsenal hana nafasi ya kuchukua ubingwa?!?
Asante kwa kunifahamisha!
Tutatolewa kwa matuta!!!!
Kuna uwezekano safari ikaishia hapo mkuu....Dakika 30 zimeisha sasa 2naelekea kwenye penat.
BTW sina hakika kama tuna wapiga penati.
Acha woga
Kakosaa!