Naona umeanza kukubali kwamba huu ni msimu mwingine mtatetea ule ubingwa wenu,cha msingi mkomae kwenye FA CUP ndio at least mnaweza kuambuliaIn Moyes We Trust....
Sasa si bora tunaomaliza top 4 kuliko nyie wa Top 7 mkuu?...
Maana sasa hv nyinyi no wazee wa 6,7,8...
Duh, Toka lini mawazo ya Chavski yakasikilizwa na wenye timu inayojiendesha kwa misingi ya historia ya mpira wa miguu nchini?.
Halafu ni kichekesho kwa adui yako kumuombea neema labda uwe ni mtu wa Mungu kitu ambacho siyo kama jina lako linavyojitangaza.
Naona umeanza kukubali kwamba huu ni msimu mwingine mtatetea ule ubingwa wenu,cha msingi mkomae kwenye FA CUP ndio at least mnaweza kuambulia
Ndugu yangu una mikelele sana...huyu Ozil nahisi anakunyima usingizi sana #MburukengeSi bora jina langu! Hilo lako umeliona?
Teh Teh te Teh Wewe ni mtoto Wa..........,! Utamalizia na Wewe Hapo!
Umeona mmeliweka bench lile li--Ozil mmecheza mpira mzuri! Lkn Hapo mwanzo lilikua linawaangusha sn na macho yake ya kulegea! Teh Teh Teh! Alafu mburukenge Mitaaani kutwa mikelele Ozil Ozil Ozil, Ozil kitu gani bhana!
Ndugu yangu una mikelele sana...huyu Ozil nahisi anakunyima usingizi sana #Mburukenge
Ona mburukenge hii!!!
Wenger...Wenger...Wenger..Hivi huyu mzee anaondoka lini arsenal?
Joel Campbell wants Arsenal return after sinking Manchester United with wondergoal...
Arsenal transfer news: Joel Campbell wants Gunners return after sinking Manchester United | Metro News
Sad Manchester United Lose Following Wonder Goal From Joel Campbell