Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kweli katuangusha sana...alipaswa pale pale kumshika nyoka na kumkata kichwa kwa kutumia jambia.
Am sure kama lile goli angefunga Bayern wangechanganyikiwa na tungeendelea kuwapiga kwa counter attack

Kwenye mpira lazima mmoja akosee ndio mwingine ashinde, ni kweli Ozil angetumia vyema ile nafasi bayern wangekuwa na wakati mgumu sana lkn sio sahihi kum'beza Ozil ameifanyia makubwa sana Arsenal msimu huu na yawezekana kiwango kinapungua sababu ya kumuover use.
 
Wewe nawe vipi? Soccer au football ni mchezo wa fitna...kwa taharifa yako refarii anapozongwa zongwa inasaidia kuzuia msionewe tena na pia inasaidia kupata huruma ya refarii kama mchezaji wa timu pinzani akijichanganya na mafaulo yake ya ugoko basi na wao wanarambwa redcard kutokana na ile pressure mliyompatia na kumuonyeshea mara ya kwanza.
Vinginevyo kama mtakuwa minyumbu ya Serengeti basi hesabuni imekula kwenu

mpira unachezeshwa na sheria 17 za soccer mkuu so hayo mengine ya fitina sijui huruma ya refa hayapo katika hizo sheria 17 za soccer.
sasa we unataka wachezaji wamzonge mwamuzi kwa lipi wakati ni wazi kuwa ile ilikuwa kadi halali.
 
Kwenye mpira lazima mmoja akosee ndio mwingine ashinde, ni kweli Ozil angetumia vyema ile nafasi bayern wangekuwa na wakati mgumu sana lkn sio sahihi kum'beza Ozil ameifanyia makubwa sana Arsenal msimu huu na yawezekana kiwango kinapungua sababu ya kumuover use.

.....hawa #Mburukenge wanawasumbua ee?!
Wao wenyewe kimya kimya wanamkubali jamaa...



#MosKwito !
 
Hivi....

Hawa #mburukenge wao hawapo kwenye CL nini?
Wanacheza lini kwani?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1392864214.713277.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1392864214.713277.jpg
    13.1 KB · Views: 85
Shida sio arsenal shida ni wenger! Hivi aliacha kusajiri kwa sababi na Sanongo? Yule anaukalia nadhani
 
Wewe nawe vipi? Soccer au football ni mchezo wa fitna...kwa taharifa yako refarii anapozongwa zongwa inasaidia kuzuia msionewe tena na pia inasaidia kupata huruma ya refarii kama mchezaji wa timu pinzani akijichanganya na mafaulo yake ya ugoko basi na wao wanarambwa redcard kutokana na ile pressure mliyompatia na kumuonyeshea mara ya kwanza.
Vinginevyo kama mtakuwa minyumbu ya Serengeti basi hesabuni imekula kwenu

Hapa sitii neno...

View attachment 140393
 
Endelea kuota mkuu. Acha hizi assessments zako za juu juu Ozil ameshang'ara katika mechi kibao kubwa akiwa Real Madrid pia timu ya Taifa ya Ujerumani. Subiri msimu ujao ndo uje na hizi judgments tutakuelewa.

I think ulikuwa umfatilii Ozil alivyokuwa Real Madrid,Ozil alikuwa flop kwenye most El Classico against Barca na mara nyingi huwa anatolewa.Then angalia perfomance yake kwenye game against Liverpool,United,City na Chelsea .Jana nimemshangaa Wenger amemwacha hadi mwisho akampa Kazi kubwa sana Monreal
 
Kilichobaki sasa kwa arsenal ni kusema what if wangepata ile penlat,what if kipa asingepewa nyekundu...
Lakini mnashau kujiuliza what if alaba nae angepata penalty ya bayern...

na boateng angepata kadi nyekundu?
 
Referee wanawahusudu sana divers...Robben amedive hadi kasababisha kipa wetu apewe redcard na mpira ukabadilika kufikia kufungwa goli mbili...it real pains in my back!!
 
Pole zangu kwa mashabiki wa Arsenal na Management yake kwa ujumla kwa kufungwa,hayo matokeo ya awali tu.Najua mnaweza mkarudi na kubadili matokeo kule kule Munich.Kila la heri wakuu,ila kwa sasa anzeni mikakati ya kumfunga Sunderland na sio kukaa na kuanza kuangalia mlianguka wapi katika mechi ambayo ilishapita.
#CYOG kwa niaba yenu ila #YNWA .

"Nlikuwepo":bolt:
 
Arsenal Vs Bayern in numbers courtesy of BBC Sport

863
The number of passes attempted by Bayern during the 90 minutes, 95% of which were successful. This success percent is a new Champions League record since accurate data recording began in the 2003-04 season.
The most passes attempted against Arsenal in the Premier League this season was the 624 by Swansea in September, while Fulham are the most accurate team against the Gunners in the league this season, completing 87.3% of their 479 passes in August.

222
The amount of passes attempted by Arsenal in the 90 minutes. They completed 71.2% of them. The lowest number attempted by the Gunners in the Premier League this season was 394, against Tottenham in September. The most they attempted was 803 against Hull in December.

147
The total number of passes chalked up by Bayern goalscorer Toni Kroos. It is also the same number of passes completed by all 12 Arsenal outfield players combined.

127
The number of passes attempted by Kroos in the Arsenal half - he completed 96.1% of them.

100
Toni Kroos's opening goal was the 100th that Bayern have scored in all competitions this season. Wojciech Szczesny's red card was also the 100th sending off at Arsenal since Arsene Wenger took charge in 1995.

78.8
Percentage of possession enjoyed by Bayern Munich over the 90 minutes.

30
The most passes attempted by an Arsenal player. Jack Wilshere completed just 66.7% of his 30 attempts.

26
Bayern's attempts on goal at the Emirates. Arsenal managed just eight - one in the second half.

12
Arsenal had just 12% of possession in the second half, with their passing accuracy down to 61.3% after the break.

3
Bayern Munich winger Arjen Robben is the only player to win three penalties in this season's Champions League. Mesut Ozil is the only man to miss two.
 
Back
Top Bottom