Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,393
- 17,756
Leo jamvi limepooza kweli hapa....au mwaishangilia Yanga kwanza? Haya mi nimejaa tele for everything hapa
watu wapo kwenye game ya yanga. Kule uk mpaka sasa new castle ndio wamepata goli 1 dhidi ya hull city. Kwingineo bado 0-0