rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Umeiona fixture yenu ya March
Dah ratiba mbaya kinoma baada ya next weekend tutacheza na top 6 back to back (FA cup na EPL), plus kibarua cha Munich kimo humo humo, kulaleki.
Umeiona fixture yenu ya March
Umeiona fixture yenu ya March
Nategemea ushindi mnono toka kwa hii mechi tutulize machungu ya CL
Arsenal leo wamenifurahisha sana, wamenipatia zawadi nzuri ya birthday leo.
......duuuhh, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Hamjazoea]#Hamjazoea [/URL] au?
Mliyasema hayo hayo Ohhh, fixture za Dec, mara za New year,....mkahamia fixtures za february...
Sasa imekuwa za March? Poleni zenu #Mburukenge still mwajifanya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Hamjazoea]#Hamjazoea [/URL] ....[smh!]
#MosKwito !
In Moyes We Trust....Tatizo lako wewe kwako kumaliza top four ni sawa na ubingwa,Kama kawaida leo Wenger kawasahaulisha maumivu
happy b day lad..
tukicheza kama ivyo ubingwa wetu
Fantastic display hadi goli linafungwa...
Tatizo lako wewe kwako kumaliza top four ni sawa na ubingwa,Kama kawaida leo Wenger kawasahaulisha maumivu
......duuuhh, [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Hamjazoea]#Hamjazoea [/URL] au?
Mliyasema hayo hayo Ohhh, fixture za Dec, mara za New year,....mkahamia fixtures za february...
Sasa imekuwa za March? Poleni zenu #Mburukenge still mwajifanya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Hamjazoea]#Hamjazoea [/URL] ....[smh!]
#MosKwito !
Duh, Toka lini mawazo ya Chavski yakasikilizwa na wenye timu inayojiendesha kwa misingi ya historia ya mpira wa miguu nchini?.Hakuna hicho kitu!
Wenger amesikia Mawazo yng ya kumuweka bench Mdebwede Ozil!
Muda si mrefu mtaanza kutaka Wenger afukuzwe,haya matokeo hayanishangazi na niliyategemea kwani sio mara ya kwanza cha msingi mmepata kisingizio cha red card
Arsenal ilikuwa inahitaji sana wachezaji dizaini ya Flamini na Metersacker hawa jamaa wana mentality za kingereza na wamewasaidia sana Arsenal msimu huu
HahahahahaaaaaaaaaAAaaaaaaaaaa,kie kie kie kieeeeeeeeeee...
Mkuu naonq kicheko chako umekisahau kidogo.
Hamjaonewa lakini.Hata kama mliwazidi kwa mpira,wao waliwazidi kwa mbinu.Usitake kuniaminisha kuwa hata pasi walizopiga walibebwa na refa.
"Nlikuwepo":bolt:
Umeiona fixture yenu ya March
Arsenal leo wamenifurahisha sana, wamenipatia zawadi nzuri ya birthday leo.
Duh, Toka lini mawazo ya Chavski yakasikilizwa na wenye timu inayojiendesha kwa misingi ya historia ya mpira wa miguu nchini?.
Halafu ni kichekesho kwa adui yako kumuombea neema labda uwe ni mtu wa Mungu kitu ambacho siyo kama jina lako linavyojitangaza.