Fantastic display hadi goli linafungwa...Hongereni arsenal kwa goli la rosiscky nahisi ndo goli bora nililoliona toka mwaka huu uanze.
Nakosa raha jamani....la tatu naniii??
Naona majeruhi yanaanza kuongezeka February. Tumempoteza Monreal, Koscielny, Gibbs, Wilshere naona naye anahangaika na hamstring, Podo naye anaonekana ana maumivu... Kazi ngumu.