Wenger na wachezaji wake wa bure!(sanogo)
Mwaka huu tunapigania ile ile nafasi ya nne,mbaya zaidi United nao wanapigania hiyo hiyo nafasi,kweli Morihno alisema kweli,Wenger ni specialist failure.
Sijapata ona timu yenye mauzi kwa washabiki wake kama Arsenal...yaani hii timu nahisi ina laana kutoka kwa mashabiki wake.
Kuanzia leo' mpenzi au mshabiki yoyote wa Arsenal anaekaa na kuwaza au kufikiri eti arsenal watachukuwa ubingwa wa msimu huu basi huyo atakuwa na matatizo ya akili kichwani mwake...ukweli ni kwamba Arsenal hii haiwezi kuchukuwa ubingwa wowote! siyo FA wala ligi kuu. Bila ya kutabiri na bila ya shaka...ubingwa wa msimu huu wanabeba Man City.
Hawa madogo wanataka kuharibu wikend yangu aisee
hii timu ina washabiki wenye roho ngumu kweli
Leo tumeanza fixture ya March......duuuhh, #Hamjazoea au?
Mliyasema hayo hayo Ohhh, fixture za Dec, mara za New year,....mkahamia fixtures za february...
Sasa imekuwa za March? Poleni zenu #Mburukenge still mwajifanya #Hamjazoea ....[smh!]
#MosKwito !
Poleni sana watani
Kuna wakati mliongoza ligi by 9 sijui 7 points!
Unakumbuka nilikwambia safari ya Arsenal imeshafika ukingoni,ukawa unanibishia i hope umejionea mwenyewe
Nhamala Ntuzu , ulemhola!.
I'm disappointed with the result but I'm not down.
Ninapenda kusahau haraka sana hii match na kuangalia mbele ya safari. Waswahili wanasema , kujikwaa siyo kuanguka!.
Nikiziangalia match tano zinazokuja, ninajisikia ujazo. I'm really pumped up for the coming five matches.
Tarehe 8 tunawakaribisha Everton kwenye uwanja wetu wa kujidai kupigania FA CUP.
harafu tarehe 11 tunasafiri kwenda German kumalizia kiporo kilichobaki na Bayern Munich,
baada ya hapo tarehe 16 tunatembea kwenda kukutana na 'punching bag' yetu ambayo inajiita The Lilywhites wanaoishi kwenye mitaa ya Wayahudi wengi.
Tarehe 22 tunaenda tunakutana na wewe unayeogozwa na Manager ambaye kila sehemu anakoenda hukorofishana na manager wengine kwa sababu anadhani yeye ni 'special one' kumbe ni stupid one,
Baadaye tarehe 29 tunamalizia na Man City kwenye uwanja wetu wa kujidai.
Kama nilivyosema, hizi match ndiyo zitakuwa kielelezo cha kufahamu position yetu mwaka huu and bear in mind, I'm excited to see that we have gone this far and even exceeded my goal.