Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inawezekana mkuu Wenger akiamua kupanga kikosi kizuri,hata Ozil huwa hajisikii kabisa ukimpanga na Chanongo pale mbele.
 
Hii ni Special Arsenal thread, mada kuu ni Arsenal. Hiyo mada unayoisema wewe s msingi wa uzi huu. Hayo mengine yote ni maoni yako binafsi ambayo si lazima yawe ndio ukweli wenyewe.

Kwa kujua ile mada ni muhimu kwa mijadalaya Arsenal...uzi ule umekuwa 'merged' hapa. Maoni yakiambatana na ushahidi (hard evidence) ugeuka kuwa ukweli ndungu...na maoni yangu kwa watafuata ushahidi...yanafuzu kuwa ukweli
 












article-2563335-1BA6D87500000578-51_634x389.jpg


Fou'? It looked like Szczesny clatters into Robben's standing leg taking him down





Definitely right here, Szczesny was trying as hard as possible to escape an assault aerial lunging left leg of Robben. Image if Szczesny would had attempted to win a ball what could had happen to him.
 
Jikite kwenye mada acha longolongo....! maajabu ni kuwa Waendeshaji wa mpira Ulaya ...hasa waratibu wa UEFA champions league ambao walikuwa wanaaminiwa kwa uweledi wa kiwanamichezo wameingia kwenye kashfa nzito ya kupanga matokeo ya timu kwa kutumia marefarii wazembe...mfano mechi ya Arsenal vs Bayern, Man City vs Barca.

Ni maajabu maana haikudhaniwa hapo kabla...ila imewezekana kufanyika
Hii ni Special Arsenal Thread. Hiyo mada unayoisema haipo. Yaliyosalia ni mawazo yako, ambayo si lazima yawe ndiyo mawazo ya wengine wote.
 
When Ozil missed the penalty, all Arsenal heads went down, nobody went to Ozil to give him a "tap on the shoulder" - that was the game changer.

now, when Alaba missed his, Mandzukic went straight away and cheered him up and then they all went running to their positions, like "no big deal, it's not over yet.."
That's the difference between 2 teams....team spirit
 
1959233_947720761934807_1259829818_n.jpg



1618570_947390285301188_587903569_n.jpg



1620698_702999069759011_523446410_n.jpg



1607132_699222486803336_841969230_n.jpg


BAYERN MUNICH PREPARING FOR THEIR MATCH WITH ARSENAL...
 
Daylight robbery by referee......

I don't think it was the referee who robbed them, but the letters of the law.

That law should be changed maana inaharibu kabisa mechi kubwa kama ile. Nadhani kama vile sheria ni "double sword".

Kutoa penalty na red kadi at the same time is a bit unfair because penalty is already a goal scoring opportunity.

Kama faulu ingekuwa nje ya penalty box, sawa but inside the penalty box, penalty and a yellow card should suffice.
 
Even his German compatriot Mertesacker did the same thing to him sijui ilikuwa mechi gani.

article-2563617-1A1A106D00000578-707_634x767.jpg


article-2563617-1A1BB2C300000578-687_634x396.jpg

Magazeti ya Uingereza hayafaii yakiamua kumponda mtu yaani!! Eti "Lazy ozil"...kuna kocha mmoja aliwahi kusema kwamba.."Once You loose the game, don't read any kind of newspaper "
 
Magazeti ya Uingereza hayafaii yakiamua kumponda mtu yaani!! Eti "Lazy ozil"...kuna kocha mmoja aliwahi kusema kwamba.."Once You loose the game, don't read any kind of newspaper "

Wamemponda sana dogo kwa kweli, ingawa amekuwa ana tabia ya kupotea kwenye mechi kubwa lakini hii criticism anayopewa it's too much ni kama wana agenda ya kumshusha confidence level yake, mbona Jack Wilshire alipotea mazima na hakuna aliyesema chochote kuhusiana naye?
 
Magazeti ya Uingereza hayafaii yakiamua kumponda mtu yaani!! Eti "Lazy ozil"...kuna kocha mmoja aliwahi kusema kwamba.."Once You loose the game, don't read any kind of newspaper "

Wazungumzie na akina Mertesacker na Flamini pia; I don't think they own those English news papers.

Interestingly, those players are not even English.

You don't even need to read the papers kujua kuwa performance yake imekuwa chini than expected.

Wengine huwa tunamwona akicheza, huku wachezaji wenzake wakimkandia live.

Labda "Once You're loosing the game, then turn off the TV".

Pamoja na magazeti hayo kumponda, it is a naked fact that performance ya jamaa kwenye big matches ni poor.

We saw him kwenye mechi ya Man City, Liverpool na sasa Buyern.

I still give him the benefit of the doubt ikizingatiwa ni msimu wake wa kwanza kwenye Premiership.
 
Back
Top Bottom