Nahisi unachanganya baina ya miujiza na kutowezekana! Hata kama Arsenal ikisonga mbele japo kwa penalti, bado itabaki kuwa ni miujiza! Simba waliwahi kufungwa 4-0 nyumbani na Mufulira Wonderers ya Zambia. Wao wakawafunga hao Mufulira 5-0 nyumbani kwao. Iliwezekana, ilitokea, lakini ni miujiza!
Bayern wamemtoa Mandzukic kaingia Mueller,baadae kaingia Pizzaro,Schwensteigger yuko benchi hana nafasi....sasa Arsenal wakimtoa Sanogo anaingia nani?Bendtner au Giroud?? MAJANGA!!!
jambo lililo taabu kueleweka na kuaminika, lakini limetokea. Yesu alifufua wafu, watu wanafukuliwa baada ya hata wiki kwenye vifusi vya matetemeko, golikipa anapoga goal-kick inayoingia moj. Kwa moja golini (Omar Mahadhi aliwahi kuwafunga Wahabeshi akiwa na Taifa Stars, zama hizo ikaamuliwa kuwa kona, nayo ikazaa bao!). Ili iwe miujiza, ni lazima itokee, ni lazima iwe imewezekana.nipe tafsiri ya neno Miujiza!
Kwenye mpira lolote linawezekana hakuna hicho unachokisema,
miujiza kwani inafufuliwa misukule pale?
jambo lililo taabu kueleweka na kuaminika, lakini limetokea. Yesu alifufua wafu, watu wanafukuliwa baada ya hata wiki kwenye vifusi vya matetemeko, golikipa anapoga goal-kick inayoingia moj. Kwa moja golini (Omar Mahadhi aliwahi kuwafunga Wahabeshi akiwa na Taifa Stars, zama hizo ikaamuliwa kuwa kona, nayo ikazaa bao!). Ili iwe miujiza, ni lazima itokee, ni lazima iwe imewezekana.
jambo lililo taabu kueleweka na kuaminika, lakini limetokea. Yesu alifufua wafu, watu wanafukuliwa baada ya hata wiki kwenye vifusi vya matetemeko, golikipa anapoga goal-kick inayoingia moj. Kwa moja golini (Omar Mahadhi aliwahi kuwafunga Wahabeshi akiwa na Taifa Stars, zama hizo ikaamuliwa kuwa kona, nayo ikazaa bao!). Ili iwe miujiza, ni lazima itokee, ni lazima iwe imewezekana.
Kwa tafsiri yakohiyo, neno miujiza halipo popote, sio kwenye soka tu.kwa hiyo arsenal kumfunga bayern sawa na mtu aliyekufa kufufuka!duh
soka halipo hivyo mkuu,tumeshuhudia mengi sana ktk soka na sijawah kufikiria kuita miujiza,
wigan kuchukua fa mbele ya man city,
as cannes timu ya daraja la nne kuzipiga st etienne na mountpiler za ligi kuu,
arsenal yenye vijana wengi kuifunga madrid bernebeu iliyosheheni wachezaji mahili zidane,ronaldo,carlos,makelele ,n.k
soka halina miujiza ni mchezo wa makosa tu,ukikosea unafungwa
Hii ni Special Arsenal thread, mada kuu ni Arsenal. Hiyo mada unayoisema wewe s msingi wa uzi huu. Hayo mengine yote ni maoni yako binafsi ambayo si lazima yawe ndio ukweli wenyewe.Jikite kwenye mada acha longolongo....! maajabu ni kuwa Waendeshaji wa mpira Ulaya ...hasa waratibu wa UEFA champions league ambao walikuwa wanaaminiwa kwa uweledi wa kiwanamichezo wameingia kwenye kashfa nzito ya kupanga matokeo ya timu kwa kutumia marefarii wazembe...mfano mechi ya Arsenal vs Bayern, Man City vs Barca.
Ni maajabu maana haikudhaniwa hapo kabla...ila imewezekana kufanyika
....machungu ya kufungwa hayo; eti mna-ndoto za kuchukua ubingwa; subutuuuu!!!!
Speaking just before he boarded the plane back to Munich, the Bayern star also insisted that to spit was not in his character. 'I must make this clear: I did not spit. I would never do that in my life,' he said. 'If I ever did that, you could drag me off the pitch and ban me for 10 games. If I ever spat at an opponent, I'd never be able to show my face to my family ever again.' Robben, who is not averse to theatrics, was also accused of play-acting by Arsene Wenger during the Arsenal game, but spitting would arguably be out of character for the usually cool-headed player. In Germany, the incident has raised the memory of another spitting Dutch player. At the World Cup in 1990, Dutch international Frank Rijkaard was seen to launch a healthy globule of saliva into the perm of German striker Rudi Völler. The incident is still held up as the most vicious point of the famous German-Dutch rivalry. Today in Bavaria, though, they can only hope that this particular Dutchman is innocent.
Nafahamu wapinzani hawapendi lakini ukweli wa mambo 11 against 11 Munchen walikuwa hoi ........ ...... kitu ambacho wapenzi wa Gunners tunalaumu ni super star Ozil kupiga penalty wakati keshapoteza penalty lukuki huko nyuma ..... ..... ..... anyway thats the game, Munchen nao vile vile walikosa tutegemee mengi return leg. COYG
What a superb perfomance from bayern,wanapiga mipira mifupi mifupi na ya haraka mno,kiukweli hapa hata barca hatii mguu kwa pasi hizi fupi na za haraka kiasi hiki wameweka historia bayern leo jumla ya pasi 791 wamepiga dhidi ya arsenal.
bayern wamemtoa mandzukic kaingia mueller,baadae kaingia pizzaro,schwensteigger yuko benchi hana nafasi....sasa arsenal wakimtoa sanogo anaingia nani?bendtner au giroud?? Majanga!!!
Inaonyesha jinsi ulivyo mtupu kuhusu soka linavyochezwa.