Buyern wanang'olewa na Arsenal we ngoja tu
Hello Gunners.
Kwa ufupi tu, hii ni match ngumu sana na kama utakuwa Gunner ambaye ni objective, nitachukua draw na kwenda nyumbani ili itusaidie katika mechi ijayo ya Saturday, 22 February kama feel-good hapa Emirates Stadium tutakapo kutana na Sunderland.
Hata hivyo katika match ya football lolote linaweza kutokea lakini historia na uharisia wa Bayern Munich unanifanya nisite kuchukua hii mantiki.
Gunners, I wish all the best!.
Once a Gunner, Always a Gunner.
Buyern wanang'olewa na Arsenal we ngoja tu