Up next ni Sunderland na bado tunacheza nyumbani.
Leo haikuwa rahisi kwa Arsenal kushinda wakiwa 10 uwanjani, ilitakiwa Mesut Ozil afunge ile penalty, na hiyo ndio angalau ingeleta afya ya kulinda goli.
Tukutane Jumamosi.
COYG!
Kwa Arsenal gani ya kuing'oa Bayern hapa na ukizingatia nyumbani teyari tumechezea kichapo?Buyern wanang'olewa na Arsenal we ngoja tu
Sahau hicho kituLakini msife moyo,mtashinda mkienda kwao
Pamoja na kuwa tumeonewa kwa kipa wetu kupewa redcard,lakini sijawahi kuona timu yenye wachezaji mapimbi hapa Duniani kama Arseanal! Yaani kupungua kwa mchezaji mmoja ndiyo timu yote inarudi kuzuia nyuma badala ya kucheza
mchezo wa kushambulia ukizingatia tuko home!!?...hapana hii hainiingii akilini.
Kwanini nasema hawa wachezaji ni mapimbi? Hivi nyie wanazi wenzangu wa Arsenal mmewahi kuona mchezaji yeyote wa Arsenal anatolewa nje kwa redcard alafu wachezaji wenzake wanaenda kumzonga referee kwa maneno mazito mzito kama
wafanyavyo MAN U,MAN CITY,BARCA,LIVER,CHELSEA nk? Yaani michezaji ya Arsenal ni mijinga sana! Yaani kipa wao anatolewa nje kwa redcard ya kutatanisha alafu hakuna mchezaji hata mmoja wa kwenda kumzongazonga referree kuonesha kuwa hatukubali na umetuonea? Cha ajabu hata yule kipa mwenyewe ameshindwa hata kumfata referree na kumlalamikia.
Hebu pigeni picha au vuteni hisia kama ile redcard angepewa mchezaji wa MAN U...thubutu!!!! Nakuambia Rooney na wenzake wangemzonga yule refarii kiasi kwamba ule mpira ungesimama hata dk 10 za fujo na mabishano tu. Lakini siyo
timu yetu ya Arsenal! Yaani wao mwenzao anapewa red ya utatanishi na wao wananyongea kama nyumbu wa Serengeti national park...ndiyo maana nasema sijapata kuona timu yenye wachezaji mapimbi kama hii. Anyway na safari yetu kwenye
mashindano haya ndiyo yameishia hapa...huko ujerumani ni kwenda kukamilisha tu ratiba yetu.
ozil kawaangusha arsenal.Nafikiri Philip Lahm na Arjen Robben watakuwa wakijaribu kumchosha Kieran Gibbs upande wa kushoto wa Arsenal.
Wakitumia njia hio basi LAex Oxlade Chamberlain anaweza kutumia nafasi hiyo kukimbia na mpira mara nyingi kuelekea langoni mwa Bayern na hata Santiago Cazorla nae anaweza kupata nafasi kadhaa.
Cha msingi ni Arsenal kutumia kila nafasi waipatayo kufunga magoli.
Wewe nawe vipi? Soccer au football ni mchezo wa fitna...kwa taharifa yako refarii anapozongwa zongwa inasaidia kuzuia msionewe tena na pia inasaidia kupata huruma ya refarii kama mchezaji wa timu pinzani akijichanganya na mafaulo yake ya ugoko basi na wao wanarambwa redcard kutokana na ile pressure mliyompatia na kumuonyeshea mara ya kwanza.sasa mkizonga muamuzi ndio atabidili maamuzi yake? Hebu fikiria kwa umakini ww sanasana ushauri wako unaweza pelekea wachezaji wengine wajipatie kadi zisizo na msingi.
Mkuu leo sikuenda Emirates. Niko nje ya Jiji kikazi.I hope leo mganga wake alikwambia usiende Emirates
Ni kweli katuangusha sana...alipaswa pale pale kumshika nyoka na kumkata kichwa kwa kutumia jambia.ozil kawaangusha arsenal.