Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
huyu inabidi muanze kumpa mapumziko kidogo nahisi hajazoea mikiki ya englanda kwamba kila katikati ya wiki mnakutana na mechi.ila wengi wanasema kiwango chake kimeshuka kidogo kutokana na ramsey kuwa nje ngoja tumuone akisharudi then tutafanya hitimisho ni ramsey alikuwa anambeba au mwenyewe tu uchovu unamuathiri??Ni kweli katuangusha sana...alipaswa pale pale kumshika nyoka na kumkata kichwa kwa kutumia jambia.
Am sure kama lile goli angefunga Bayern wangechanganyikiwa na tungeendelea kuwapiga kwa counter attack