Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuumia kwa GIBBS ni turning point ya Game...as i said...Robben na Larm wako free kushambulia watakavyo....
 
Mkuu usimsahau man u ana hasira na ndio kombe pekee analitegemea!!

Hahahaa sawa ila mi nimeangalia fainali kabisa...of course maajabu hutokea lakini kwa.hali ilivyo....naona combination hiyo
 
Rosicky anaingia badala ya Oxlade Chamberlain.

Hii ni game changer sasa.
 
Usisahau kuna Napoli PSG Real Madrid na Schalke, hiyo ndiyo naona sehemu ya robo fainali.

Of course naa assume pia hawatapangwa pamoja kabla ili.mmoja alazimike.kumtoa mwenzie kama last time
 
Upande wa Bayern Munich Thiago Alcantara anatoka na nafasi yake inachukuliwa na Claudio Pizzaro.
 
Hiki kipindi cha pili mpira unachezewa kwenye lango la Arsenal tu.
 
mzee wenger kifafa chake kilichoanzia Liverpool kisije kikamrudia hapa leo.
 
Back
Top Bottom