Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
Arsenal naipenda ila ubingwa tutangoja sana labda tusubiri miaka mingine 5
......dahhhh?!
Kabla game haijaanza pia ulikuwa na mawazo hayo hayo?
Arsenal naipenda ila ubingwa tutangoja sana labda tusubiri miaka mingine 5
......dahhhh?!
Kabla game haijaanza pia ulikuwa na mawazo hayo hayo?
Mpaka Wenger aondoke,mbishi sana hataki kusajili.
siku nyingi siandiki kwenye huu uzi kwasababu ninajuwa wapi tunaposhikwa lakini wengi wetu hatukubali, ukiangalia gemu ya leo na Manchester city zinalingana kwani tulishikwa kati na leo ndio tumedhihirisha kuwa kati panahitajika mtu, Arsene kumsajili yule Mswedesh hakufanya kosa kwani pale ndipo kwenye ubovu
.....amsajili nani, aje acheze formation ipi?
.....amsajili nani, aje acheze formation ipi?
rubamannnnnnnnnnnnn unaikumbuka hii!?????????? #back-where-you-belongKesho ushindi tu.. Liverpool 1- 3 Arsenal
D. Sturridge
S. Cazorla
Ozil
Per
Hapo tupo pamoja, ila mswidi mgonjwa, na Flamini kafungiwa...
Kuna Option nyingine? Kwa formation gani?
Tuna timu mbovu ndugu,ni kwa vile hatutaki kuamini,Wenger hataki kusajili ni mwehu huyu mzee.
Kwa Arsenal kushaeleweka..ngoja niwasubirie Chelsea...