Mburukenge FC
Jamani yule mrembo Ozili hayupo?
Duuhhh wametuotea kiukweli leo ivi vijogoo.
.....mmejaa leo hapa,
Wengine ndio kwanza leo nawaona....
....haya, tuendelee kuangalia kabumbu....
COYG!!!!!
Mburukenge FC ha ha ha ha ha ha aha ha eti wanataka kunyakua ubingwa wa EPL mijitu mingine mivivu ya kufikiri.