Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liverpool In crisis!! No goals for over ten minutes.
 
Tumepoteza,wachezaji hawapo kwenye ari,tuombe mungu yasizidi yakafika 9 tukaandika story,
Gunnerz 4 life
 
Mi ndio nlitaka kubet na ww kwa dau la elfu 5 tu ukachomoa sasa wandaije? Embu usitake nkurushie ngumi ya uso manake...
 
Ananikera sana huyu Ally Sissokwe na mapasi yake mabaya mabaya!!
 
F'k leo mbona tumepatikana. 4 goals , 20 minutes!!! Nategemea mtachonga sana kina nanilii. kutereza sio kuanguka lets hope
 
On the train to Swansea and my streaming has frozen after 31 seconds. Any score yet?@ Lee Dixon
 
Nitarejea tena baada mpira kuisha..
Nabadilisha mkao kwanaza jamani.
#You 'llNaverWalkAlone.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Naamini zitarudi...mnakumbuka hatrick ya Ashavin mwaka 2009 ? Tulitoka 4-4...I still biliv Arsenal can bounce back...stay tuned
 
LIVE--Liverpool-v-Arsenal-Premier-League.jpg

He's in the mood for dancing
 
Leo tutaona mengi humu maana hadi misukule inafufuka,leo itashinda humu itakula humu italala humu

Hahaaaa na sie tupunguze kelele kidogo bhana...Wenger alifanya uzembe sana kutisajili dirisha dogo...Akina Drexler wangetufaa mkuu
 
Back
Top Bottom