Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
nadhani huja angalia vizuri ni HARD na sio MEDIUM HARD.
angalia kwa column ya arsenal utaona rangi ni orange sio red,ukiangalia kwa column ya man utd utaona wameweka red,maana yake ni kwamba arsenal anapocheza na man utd kwake ni medium hard kwa vile sisi ni wanyela tupo nafasi ya saba,ila sisi tunapocheza na arsenal kwetu ni hard kwa vile wao wako kileleni......HAKIKA HUKU NI KUDHALILIKA!