Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Babamkubwa, Mbu, Arsene, BAK, Richard, Balatanda, Next Level, Ngwaza,Radical, Sipo, Shadow na washika mizinga wote humu jamvini Merry X-mas and happy new year,...................Eduardo na Arshavin maelewano yao sio mazuri,
Ni observation yangu tu inawezekana isiwe hivyo ila body language yao uwanjani naona haiko sawa.Asante kwa salamu mkuu.....nawe twakutakia sikukuu njema.
Mkuu unamanisha hakuna mahusiano mazuri baina ya Eduardo na Arshavin?
Babamkubwa, Mbu, Arsene, BAK, Richard, Balatanda, Next Level, Ngwaza,Radical, Sipo, Shadow na washika mizinga wote humu jamvini Merry X-mas and happy new year...
Babamkubwa, Mbu, Arsene, BAK, Richard, Balatanda, Next Level, Ngwaza,Radical, Sipo, Shadow na washika mizinga wote humu jamvini Merry X-mas and happy new year, niko tight aisee ila tupo pamoja, jana ushindi mzuri ila kazi ipo mechi ya Villa, nadhani tutapata picha nzuri baada ya mechi ya Villa, ila bado tupo na uwezo kulinyaka mwaka huu. Upinzani kwa kweli ni dhaifu, Looserfool kwishnei, Mannure nao hoi, Chelski pekee ndio naona bado wako gado ila tuangalie leo kama W/ham watapapatua kiume kama wenzao Pompey jana.
Mechi ya jana nimebaini vitu viwili naona vimenitia mashaka kidogo.
1.Eduardo na Arshavin maelewano yao sio mazuri, Eduardo kuna wakati alipata nafasi nzuri ya kumchezesha Arshavin kwa vilie yeye Eduardo alikuwa tight angle matokeo yake alijaribu kufunga mwenyewe wakati alimuona Arshavin yuko nafasi nzuri zaidi ya kufunga!!
2. Mara baada ya kufunga bao la 2 Eduardo alieonekana kuelekea upande wa washabiki wetu kushangilia lakini alipomuona tu Arshavin mbele yake aligeuza ghafla na kuelekea upande wa Diaby na kumkumbatia ilionekana kama vile anam-snub Arshavin. Hatutaki kuona mambo ya Bendtner v Adebayor yanajirudia ama kule Liverpool Torres v Babel na Keane v Gerrard.
kazi munayo arsenal coz hata mwendo wenu bado wa magutu sana hamna zile perfect straight may be 3 or 4 wins, so kwa timu yenye mwendo huo ni hatari sana, its like walivyo totenham hotspur, so kazi bado ni pevu sana, hebu jaribuni kuwasoma watoto wa villa park wanavyotakata kipindi hiki, kawalambisha mchanga wote waitwao big four
Wenger rules out Van Persie for rest of season
22.12.09
Arsene Wengerfears injured Robin van Persie will miss the rest of the season and admitted he could sign another striker next month.
We mbona una mihasira namna hiyo vipi? Kwanza mzima? maana naona uliiingia mitini kwa muda kidogo especially baada ya kulalamika kuwa shemeji alikuwa anakununia bila sababu, Heri ya Noel....'puh-mba-f' kabisa, ...haya sasa Chelsea, Spurs na Manure furahini sasa 😡
Jamaa yupo Vekesheni Bongo... Yuko na kina Masanilo, Nguli etc, crew kubwa nadhaniWe mbona una mihasira namna hiyo vipi? Kwanza mzima? maana naona uliiingia mitini kwa muda kidogo especially baada ya kulalamika kuwa shemeji alikuwa anakununia bila sababu, Heri ya Noel.
We mbona una mihasira namna hiyo vipi? Kwanza mzima? maana naona uliiingia mitini kwa muda kidogo especially baada ya kulalamika kuwa shemeji alikuwa anakununia bila sababu, Heri ya Noel.
Jamaa yupo Vekesheni Bongo... Yuko na kina Masanilo, Nguli etc, crew kubwa nadhani
Mara baada ya kufunga bao la 2 Eduardo alieonekana kuelekea upande wa washabiki wetu kushangilia lakini alipomuona tu Arshavin mbele yake aligeuza ghafla na kuelekea upande wa Diaby na kumkumbatia ilionekana kama vile anam-snub Arshavin. Hatutaki kuona mambo ya Bendtner v Adebayor yanajirudia ama kule Liverpool Torres v Babel na Keane v Gerrard.
weee mwanga nini/??mbona unatuwangia wakati ligi ndio kwanza inapamba moto??bado tupo kote na manure au chelski hawatishi kihivyo....Lol!
...kwanza heshima yenu wakuu, nimerudi salama salmini, tena na sun-tan mpya kabisa maana kijijini' jua linapiga si mchezo, halafu vibaka waliniingiza mjini vile vile wakakomba Camera, pesa na vikorombwezo vingine... ndio nyumbani!
...Eqlypz, ...formation mpya ya 'ze Ganaz', ipo kwenye mfumo wa 4-3-3 ili striker wetu Van persie au Bendtner asaidiwe kule mbele na midfielder-cum-wingers ambao ni Nasri, Rozisky, Eboue, Arshavin et al... Strikers wote hao wawili sasa ni majeruhi wa kudumu mpaka mwisho wa msimu. Eduardo nae aliyekuwa majeruhi msimu mzima wa mwaka jana bado ana niggling injuries, anacheza below par...
ndio kusema? Kina Invisible, Peasant, na wana darajani (Chelsea) hawana mpinzani, hata nyie Manure mkitaka nafasi ya pili yenu kabisaaa labda mliboronge mwishoni kwa kujitakia. Champions League ndio kabisaa naanza kuondoa matumaini.
Mwaka huu ulikuwa defining season, ...i bet summer kutakuwa na exodus ya wachezaji kuihama Arsenal wakiongozwa na Fabregas! sijui nihame timu? No, no, no...
Gunners for Life!
wakuu wa emirates nawatakia sikukuu njema na msheherekee salama na furaha kubwa bila matatizo yoyote pamoja na familia zenu.
nategemea pia wachezaji watatupa zawadi hapo tutakapo kutana na aston villa jumapili.
kila la kheri wakuu mpaka jumapili tutakutana tena jukwaani humu.