Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yale yale ya kuona mnapigwa vita, mwenzako kasema FA ina lake jambo kisa mechi za raundi ya pili (na vigogo wengine) ziko back to back, na mimi nikamjibu mbona raundi hii hakucomment au kwa sababu ilikuwa mchekea. Wewe unakuja na mambo ya kukosa usingizi ebo!!!

Teh teh..Mkuu,wengi tu wananyimwa usingizi na Arsenal,angalia tu comments zao humu utawaona..Sory kama nimekukwaza mkuu wangu..Pamoja
 
Karibu mkuu..Ulipotea sana aisee..Yupo babu Sylivestre,hope atacheza leo,hukawii kusikia naye kaumia..Anyways,kila la heri Arsenal leo,ushindi ni muhimu sana kwa mechi hii ngumu

...shukran bro, nilikuwa hukooo kijijini.. jinsi umeme ulivyokuwa wa mgao hata intenet haikuwa 1st priority!

Baada ya kumkalibisha ilibidi umuelekeze nini kilijili hapa janvini hasa kwenye hii thread yetu. mkuu mbu kalibu sana....kweli sijamuona siku za hivi kalibuni, sijui yupo wapi? au nae kaenda mapumzikoni kama alivyoenda mkuu mbu

...acha tu, najaribu kuji update na habari za humu, Lol!

Kweli, alikimbia tangu mpira kwisha tarehe 29 Novemba....karibu sana Mh. Anopheles, I just hope haujasambaza Malaria huko ulikokuwa!

...ah ha haa, kumbe mliulopu siku ile? ndio kwanza nayasikia matokeo!

Wanapata tabu sana na Arsenal, watajiju

...baaambie hao!
 
...shukran bro, nilikuwa hukooo kijijini.. jinsi umeme ulivyokuwa wa mgao hata intenet haikuwa 1st priority!

...acha tu, najaribu kuji update na habari za humu, Lol!

...ah ha haa, kumbe mliulopu siku ile? ndio kwanza nayasikia matokeo!

...baaambie hao!
Mkuu ebu rudi kule kwanza ukamalizie kutoa ushauri ndoa za watu ziko matatani, fanya fasta kaka.
Hawa wanajua Arsenal iko juu basi tu wengine wabishi.
Tunakusubiri darasani mkuu, please
 
Radical & AW;

Jana tuliongelea sana ugumu wa game ile...and yes, game ikawa ngumu sana upande wetu as expected.....hata hivyo were lucky kuchomoka na point hata moja.....!

Yep the game was tough, credits to Burnley. Red Devils wenyewe waliangukia pua.
Next game guys, it ain't that bad. Plus striker.........plz AW.
 
Arsenal manager Arsene Wenger confirmed that Fàbregas will definitely miss Saturday's Premier League match at Hull City and his involvement in matches against Aston Villa and Portsmouth at the end of the month is also looking doubtful.
Arsene Wenger said after the draw at Turf Moor: "He is injured, for how long I don't know, it depends what you call serious. It's a hamstring. He will not play on Saturday."
Poleni
 
Yale yale ya kuona mnapigwa vita, mwenzako kasema FA ina lake jambo kisa mechi za raundi ya pili (na vigogo wengine) ziko back to back, na mimi nikamjibu mbona raundi hii hakucomment au kwa sababu ilikuwa mchekea. Wewe unakuja na mambo ya kukosa usingizi ebo!!!
mkuu round ya kwanza hatukusema kitu kwa vile ilipangwa fair kwakila timu na hukumuona mkubwa yoyote mwenye back to back kama nilioweka pale.na round ya pili sisi ndio tumepangiwa hivyo na hakuna mkubwa mwingine yoyote alikuwa na schedule kama hile sasa unategemea tusiongee? ungekuwa wewe pia ungelalamika.fa tunaijua vizUri kwahio tutakabiliana nayo hivyo hivyo tu.
 
Porto date for Gunners

Fri, 18 Dec 11:49:08 2009

Arsenal will take on Porto in the last 16 of the Champions League.
The Gunners topped Group H, winning four of their six games, while Porto finished runners-up to Chelsea in Group D.

The first legs will be played on February 16/17 and 23/24 with the second legs scheduled for March 9/10 and 16/17.
 
...hapa matumaini ni 50-50 🙁 kwa kisingizio; "..the squad is still growing!"...all in all, ushindi au kilio inategemeana na matokeo ya hiyo mechi ya February 17!
 
bbzzzzzzzzz!!!!!..Welcome back Bw Mbu...
jamvi lilikukosaa kweli mkuu...sasa tuanze uchokozi.😀
 
bbzzzzzzzzz!!!!!..Welcome back Bw Mbu...
jamvi lilikukosaa kweli mkuu...sasa tuanze uchokozi.😀

...ha ha ha, haya bana...naona mnapaisha tu pointi kabla ya Africa Cup of Nations January kina Drogba, Essien, Kalou na Mikel wakiondoka,...

Inter ya Mourinho mtawaweza?
..yangu macho!
 
If Arsène Wenger doesn't add to his squad in January it will be because he hasn't found an available player good enough to play for Arsenal.

Media speculation has been rife recently with a host of players being linked with a winter switch to Emirates Stadium.

However Wenger is only looking for players who can bolster his side in the title race and says there is only one reason why he would not add to his side when the transfer window opens next month.
"[It will be] because we won't be able to find the quality of player," he explained. "That's the only reason that will stop me."

mbona huyu mzee anapenda kutupa headache wakuu?
 
naona tunazunguka zunguka pale mbele kama kawaida yetu hamna mtu wa kuchukua chance ya kupiga shuti wala nini.
 
Tunahitaji mpiga free kick kama hivi! Nasri angeng'ang'ania yangekuwa yaleyale.
Arsenal 1 Hull 0
 
Back
Top Bottom