Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Japo mpira ni dakika 90, lakini naona kuna dalili zote za wao kushinda game la leo. Ninawatakia kila la heri, lakini wanatakiwa kuongeza goli la pili mara baada ya kipindi cha pili kuanza ili wawe na uhakika zaidi.

Good Luck Arsenal Fans!
 
Halafu huyu Refa naye sijui vipi maana hii penalty aliyowapa Hull hata haieleweki,thank God Almunia kaicheza...Huyu Sylvestre naye anatucost sana pale nyuma
 
Eduardoooooooooooooo...Goaaaaaaaaaaaaal,cha pili..Mkuu AW naona Dudu kakusikia
 
Mpira umeisha Arsenal 3 Hull City 0..Hongereni sana wana Arsenal,ushindi mnono huu
 
tungemchapa kama angekosa pale ha ha ha. wakina clichy wanarudi lini? naona huyu sylvestre huyu uchochoro.

Hongera kwa ushindi mkuu,ila huyu dogo Aron Ramsey naona kaanza kukomaa now,dogo ni mzuri sana,anacheza mpira wa akili sana,naona atatufaa sana huko mbeleni huyu
 
Hongera kwa ushindi mkuu,ila huyu dogo Aron Ramsey naona kaanza kukomaa now,dogo ni mzuri sana,anacheza mpira wa akili sana,naona atatufaa sana huko mbeleni huyu
dogo ndio mrithi wa fabregas wenger anamuandaa sio.naona diaby leo akumtuma pacha wake kucheza kaja mwenyewe lol.point tatu zilikuwa muhimu sana na tukiweza kukusanya tatu kwa villa.
 
hongera na wewe mkuu tunkiweza kusimamaisha speed ya villa itakuwa vizuri sana naona wale wana moto sasa sijui nguvu ya soda au vipi.
Kwani hukumbuki last season walikuja na kasi zote lakini wakanywea wenyewe hawana lolote hao Aston villa ni nguvu ya soda.
 
mmebahatisha leo naona mpo kwenye mud....!!!!! ila al in al shetani wekundu tuuu
 
Wenger's press conference

'Denilson wasn't going to take the free kick'

On the 3-0 victory...

"We had to fight. We had problems a little bit to start because we left a lot of physical strength in our last two games at Liverpool and Burnley on Wednesday night and it took us some time to get into the game and to find the pace. In the first half we didn't look very fresh but we got in front and in the second half I believe even if it was a turning point with the penalty they missed, to me the penalty looked really, really harsh and we scored straight away a second goal and we had plenty of chances after."

On the turning point in the game...

"I believe what was the turning point was that we scored a goal just before half time and they had to come out in the second half. In the first half they played in their half and were well organised and closed us down. We had to respond physically and we had really a good physical response today."

On suggestions Samir Nasri was lucky to stay on the pitch...

"I will watch it again but it was very difficult to see that he stamped on the foot but if he had gone certainly a player of Hull would have gone as well."

On Denilson's free kick...

"Denilson is not a free kick specialist. I was quite surprised, he was not specially named because it was Nasri who was going to take it and he took it well. I thought first he wanted to cross the ball but he scored. It changed the game."

On Manchester United's defeat...

"It shows first of all that everybody can lose everywhere and that is new; the first season since I'm here that it's really like that. Secondly, the most consistent team will at the end of the day make it."

On Mark Hughes being sacked by Manchester City...

"It's very sad when a manager losses his job. For me it's a very sad day when you are not given the time and it looks very early. I cannot access the situation at Man City when you don't know what's happening inside the club but from outside it looks surprising and sad."

On Roberto Mancini taking over at City...

"I believe he is a manager who has done excellent work in Italy and he will have a formula one in his hands and how quickly will he drive? I don't know. Certainly he will have all the needed players he wants."
 
Samir-Nasri-Arsenal-Hull-City-Premier-League-_2399044.jpg



Samir-Nasri-Hunt-Arsenal-Hull-City-Premier-Le_2399048.jpg
 
Back
Top Bottom