MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 188
jamani hii mechi vipi naona maji kwenye kwapa langu....duuuh! let's wait, who comes in!!!!!
Naona umeona mkuu!! this Walcott has a long way to learn his trade, his final ball is always a mess!!
jamani hii mechi vipi naona maji kwenye kwapa langu....duuuh! let's wait, who comes in!!!!!
3-0 = 3
Game imeisha..Arsenal 3 A.Villa 0..Hongereni sana Arsenal..Ni siku nzuri sana kwangu leo.Arsenal wameshinda na Yanga nao wamechukua Tusker Cup,zawadi nzuri sana hii ya kufungia mwaka...Pole kwa Fabregas kwa kuumia na tumshukuru kwa kuwa chachu ya ushindi wa leo...Tunakuja kuwasssshika!!!