Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
wakuu wa emirates nawatakia sikukuu njema na msheherekee salama na furaha kubwa bila matatizo yoyote pamoja na familia zenu.
nategemea pia wachezaji watatupa zawadi hapo tutakapo kutana na aston villa jumapili.
kila la kheri wakuu mpaka jumapili tutakutana tena jukwaani humu.
Na sisi wageni wenu hatustahili kusherehekea nanyi?
Wenga,Banta,Mbu na wengine wote wa hapa niwatakie Xmas njema na mwaka mpya wenye mafanikio kisoka na niwakaribishe darajani mwakani.
Nawatakia Xmas njema na Heri ya mwaka mpya wa 2010 wanamichezo wote wa humu jamvini JF(Wazee wa Mamn Utd,Chelsea,Liverpool,Tottenham,Man City),Bila kuwasahau wapenzi wote wa EPL,VodaCom Premier League,Ligi ya Zenji,Bundesliga,La Liga,Eredivisie,Ligue 1,Serie A Nn.k,nwatakia mafanikio ninyi binafsi na timu mzipendazo katika mwaka mpya wa 2010...Pamo jah
...Mvina bana,
haya jamani kila la heri kwenu nyoooote pamoja Belinda Jacob, Eqlypz, Belo, Nziku na 'Manure' wote, MTM, Quemu na wa 'Bwawa la maini' wote, Shedafa na ma-'Spuds' wote, Man City na wanazi wa 'Darajani' woooote kina Masa, Ab-titchaz, Invisible...
...'washika bunduki' wenzangu wote,...wembe ule ule 2010!