Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

6 kwa 3 ni magori meng but all ts part of the game wale jamaa ni hatari saana! Hongera kwa Pelegrini kaongeza kitu kwa The Citzen.
..COYG..

kaka salama.....niliahidi tungekuwa wote kushuhudia mpambano huu lakini shughuli zilinikabaa....nasikia u were hit for six.....!!!!!hawa man city hatari kaka.....hio wanaita 'reality check'.....poleni ndio ukubwa huo
 
we will be back strong,wilshare cost arsenal a defeate,giroud should have score two goals

No three.


Poleni kwa shughuli nzito. Sijui ile ilikuwa kitchen party ama send-off. Subirieni Jumatatu 23 2013 muolewe kabisa mrudishwe position yenu..4th.
 
heeeeyyyy, poleni sana fyee fyeee fyeeee fyeeee fc.
six.jpg
 
Hahaaaaaaaaaaa......

Man Utd mnafurahisha kweli, ina maana mnafurahia Arsenal kufungwa na Man City?....

Hivi si hawa hawa Man City waliwafunga 6-1 mpaka mkaitwa Man Six?...

Nawaona wazee wa 9th............a.k.a Jezi nambari 9 mgongoni....

Naomba upokee pole yangu ,naona mmepata jina jipya naona safari hii Wacha1 nae amekukimbia umebaki na mburukenge watoto
 
Last edited by a moderator:
Watu hamjuhi na hamjagundua kuwa Arsenal huwa inafungwa na Timu zinazojituma na kucheza rafu. MAnure wao huwa wanajua sikuzote ukitaka kuwafunga Arsenal ni kuwakaba mwanzo mwisho na kuwapiga buti. Pia Angali Aston vila, Westbromich, Dotmund, Na sasa Everton wote walijituma sana na kutukaba ndio maana waliweza kutufunga.

Mechi ya Shity haina pressure hawa tutawafunga kwa kuwa wancheza mpira na hawana uwezo wa kucheza Intensy game kama Everton, man,westbrom.

Mechi ya Pensioners haina pressure sana ila tatizo ni kasumba ya Mournho kutokufungwa na WengeR tu ndicho kinacho tusumbua zaidi ya hapo, timu yao ni mbovu na tunaweza kuwafunga.

Kiujumla ukiangalia beki zote za City na Pensioners ni mbovu.

Mechi ya jana dhidi ya Man City imenisikitisha sana, hofu yangu inazidi kukua hivi huyu babu hajifunzi? au ameishiwa mbinu? kwa mwendo huu nakuwa na wasiwasi sana, kama nilivyosema mwanzo bado hali ni tete sana na hopes zote lazima tuziweke kando kwanza ili tusije umia zaidi.

Mechi ijayo na Chelsea sijui itakuwaje, hata kama Chelsea wanasua sua bado ni tishio kwetu, tutake tusitake, halafu bado NewCastle.......... Natamani niende nikachukue nafasi ya Wenger angalu kwa mechi moja nimuonyeshe nini anatakiwa kufanya ..... 🙂

Mabadiliko yanahitajika pale Emirates.
 
kaka salama.....niliahidi tungekuwa wote kushuhudia mpambano huu lakini shughuli zilinikabaa....nasikia u were hit for six.....!!!!!hawa man city hatari kaka.....hio wanaita 'reality check'.....poleni ndio ukubwa huo

ts part of the game kaka na tumeyapokea matokeo kwa nguvu zote japo ni ya kufedhehesha na kwa sasa 2najipanga kwa game ijayo. All in all see you at Villa Park bro.
 
Usibishane nae huyo.....Bishana na walio Top 4, Namba 9 sio size yetu sisi Nkwingwa....

Sisi wa kubishana nao sasa hivi ni Man City, Chelsea na Everton ......Hao wengine ni #Mburukenge tu
Vipi tena ndoto za ubingwa zimeshakufa? Naona mmerudi kwenye ule ubingwa wenu wa siku zote "TOP 4"
 
jukwaa halina picha....naomba niwasaidie kuweka picha.....
1-0
Sergio-Aguero-scoring-the-004.jpg

1-1
Theo-Walcott-scores-his-1-008.jpg

2-1
Negredo-scores-the-2nd-Ci-003.jpg

3-1
Fernandinho-scores-his-1s-001.jpg

3-2
Theo-Walcott-scores-his-2-002.jpg

5-3
Per-Mertesacker-scores-Ar-004.jpg

6-3
Man-City-v-Arsenal-002.jpg
 
Wacha1 aka Wacha6 anaumwa ngoja nimsaidie leo

59223.jpg

Agueroooooooooooooo alianza

city_1872152a.jpg

Akafuatia Negredooooooooooooo



CS53197670Man-City-v-Arsena-2926342.jpg

Per anataka kumchapa makofi Masudi Wazir


RTX16I2D.jpg

Kijana amechanganiykiwa


Manchester-City-vs-Arsenal-2926199.jpg

Na mwisho ubao ndio huo
 
Last edited by a moderator:
Mburukenge wamejaa utasema Arsenal haijawahi kufungwa
Hongera Manu, Chelsea na timu nyengine kwani mulisubiri kwa nguvu kuona lini Arsenal wanafungwa
Toeni mapovu kwa sana
Nauliza tu leo Watu wa kubebwa mutatoka?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom