ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
pole sana mkuu ila ndo mpira huo ipo siku utacheka na kulia pia ujue kumo..Mburukenge wamejaa utasema Arsenal haijawahi kufungwa
Hongera Manu, Chelsea na timu nyengine kwani mulisubiri kwa nguvu kuona lini Arsenal wanafungwa
Toeni mapovu kwa sana
Nauliza tu leo Watu wa kubebwa mutatoka?