UEFA DRAW ROUND 16
Manchester City v Barcelona
Olympiakos v Manchester United
AC Milan v Atletico Madrid
Bayer Leverkusen v Paris Saint-Germain
Galatasaray v Chelsea
Schalke 04 v Real Madrid
Zenit St Petersburg v Borussia Dortmund
Arsenal v Bayern Munich
Hatimaye tunakutana na Bayern Munich.
Arsenal vs Bayern na man city vs Barcelona.......hizi timu zitatoa burudani nzuri. Hapa naona ndio tumefikia mwisho wetu.
Arsenal vs Bayern na man city vs Barcelona.......hizi timu zitatoa burudani nzuri. Hapa naona ndio tumefikia mwisho wetu.
Vipi Mkuu, matumaini ya ubingwa yapo?
Mnatia huruma nyie!
Vipi Mkuu, matumaini ya ubingwa yapo?
Mnatia huruma nyie!
Yani Mimi waturuki nikuwapiga tu nyumbani na ugenini!
Nkwingwa hata nyinyi msidhani mmepangiwa timu rahisi kivile...
Galatasaray ya akina Drogba na Schneider ni ngumu sana...
Sema game za UEFA hua hazitabiriki...Ndo maana vitimu kama Basel huwa vinaviadhiri vigogo...
All in all tutegemee burudani nzuri katika raound ya 16 bora...
Kila la heri...
Yani Mimi waturuki nikuwapiga tu nyumbani na ugenini!
Nani anatia huruma wewe.
tunawavua ubingwa bayern.
Utakuwa ushoga wa hali ua juu kutolewa na Bayern kwa mwaka huu tena, Babu lazima asajili mtu kama Diego Costa au Suarez ili amsaidiie Giroud in strikingforce otherwise tutatoka kwa uraisi sana
we jidanganye...