Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Game ngumu sana kwetu leo hii......Hawa Man City ni wazuri sana....
COYG
COYG
Saa ngapi mkuu?
Wewe unasemaje Eti?
Hakai kimya mtu hapa! Saa za game sio mbali subiri uone!
Unachekesha!
Haya mkuu. Jiandalie kwa kipigo.Nipo City kwa mkopo ebo mnashangaa nini nani aliwaambia mashabiki hawawezi kuazimwa kwa muda mtashangaa leo sioni mtu wa kumzuia Silva na Aguero.
Hii game saa ngapi wadau..mi liver naomba mungu arsenal apoteze hii game angalau nimsogelee..
mmmmhhhhhhh eeeee mmmmhhhh
Wewe mwanga umerudi na leo............leo niko tayari kulimwa ban lakini nakula sahani moja na wewe, ole wako ulete ujinga wako kama wa usiku ule.
Dah nitaicheki kwenye simu hiyo game!
Mbona unaanza kuweweseka mapema mkuu....??
unachekije kwenye Simu? Weka maujanja tufaidi
Duh! Man city 7 Arsenal 0. Na red card Kwa Ateta!
Wewe unalilia ban leo? Jamani Nakupa pole!
Hatishwi mtu hapa na Mimi nakomaa na wewe mpaka wake Hiyo ban!
Wewe, wewe, wewe, Ngoja tuone Leo! Lazima mufungwe vibaya! Yani Ka timu kenu lazima Kawe ndembendembe! Muda wenyewe ushafika subiri uone wewe mtoto Wa Liemba Mfipa!
Teh Teh Teh! Na Mimi na mkwaraaaa wewe!
Watu hawataki magonjwa ya moyo. Leo hii mtaponea wapi??jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
![]()
sihitaji kubishana na wewe kwenye maandishi, tutaonana uwanjaniHiyo ni facts,uwezo wako mdogo kwenye UCL