Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahaha lol!!!! Huyo hajui tu huu uzi una umuhimu kiasi gani kwa mashabiki na wapenzi wa Gunners.


ah ah, ati wa wapenz wa gunners mmeona eeeh,,, ama kweli ngoma ya watoto huwa aikeshi, gurners mmecheza ovyooo,,,
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tumefungwa kwa makosa ya kizembe sana kama Wilshere,Sagna kupoteza mipira kirahisi kabisa.....
#Beki zetu Leo hazikuwa katika kiwango bora cha mchezo....Set-pieces bado zinatushinda sana.
#Refa hakuwa fair enough...Alitunyima penati clear kabisa,goli la kwanza la City lilikuwa offside likitengenezwa
#Giroud anakosa nafasi za Wazi sana...ambalo ni kosa kwa mechi kubwa kama hii...
#Bado tumeonyesha tuna uwezo WA kufunga goli nyingi..;;

MPIRA NI MCHEZO WA MAKOSA NA CITY WAMAYATUMIA KUTUMALIZA...
 
Manchester City FC vs Arsenal Player Ratings

England - Premier League

Manchester City FC
Manchester City FC
6 vs 3
Arsenal
Arsenal
Played
December 14, 2013 12:45 PM GMT
Etihad Stadium — Manchester
Referee:‬ M. Atkinson‎

14′ Sergio Agüero
Theo Walcott 31′
39′ Negredo
Theo Walcott 63′
50′ Fernandinho
Per Mertesacker 90+4′
66′ David Silva

88′ Fernandinho

90+6′ (PG) Yaya Touré
 
Hilo wala sikupingi, yaani uchezaji wa leo ulikuwa wa kiwango cha chini mnoo. Walikuwepo uwanjani kama kutimiza wajibu tu.

ah ah, ati wa wapenz wa gunners wakipeana moyo, ama kweli ngoma ya watoto huwa aikeshi, gurners mmecheza ovyooo,,,[/QUOTE]
 
Tumefungwa kwa makosa ya kizembe sana kama Wilshere,Sagna kupoteza mipira kirahisi kabisa.....
#Beki zetu Leo hazikuwa katika kiwango bora cha mchezo....Set-pieces bado zinatushinda sana.
#Refa hakuwa fair enough...Alitunyima penati clear kabisa,goli la kwanza la City lilikuwa offside likitengenezwa
#Giroud anakosa nafasi za Wazi sana...ambalo ni kosa kwa mechi kubwa kama hii...
#Bado tumeonyesha tuna uwezo WA kufunga goli nyingi..;;

MPIRA NI MCHEZO WA MAKOSA NA CITY WAMAYATUMIA KUTUMALIZA...

That is good analysis brother...kuteleza leo si kuanguka. By the way chelsea na Manu wameshapita hapo Eti2?
 
Mkuu BAK

Ati niliisi hii ligi EPL ni ngumu sana, naamini akina man utd, totenham, newcastle et al, wataamka sasa kwa kuona km kiongoz wa ligi aweza kfungwa bao izi zote basi kumbe bado wanaweza kuregain evn to top 4 and above mwalionaje ilo?
 
Kile nilichokuwa nimekiwaza ndicho kilichotokea...anyway hii ndiyo football!

Na ninahisi tulichokipata leo tutakipata kwa Chelsea pia. Daah nimeumia sana! Sita?
 
Are you sure? Labda mashabiki wa gunner walishtukia matokeo na kuomba Mod watu awe anaruhusu watu kuingia kama kwenye lile jukwaa la kikubwa.

Hahahahaha lol!!!! Huyo hajui tu huu uzi una umuhimu kiasi gani kwa mashabiki na wapenzi wa Gunners.
Invisible amesharekebisha mambo baada ya Balantanda kulalamika.
 
Last edited by a moderator:
Wale waliosema akikaribia december mapepo yanaanzia kumwingia naona yameanzia leo uwiiiiiii wenger wanguuu ni niii hiki

kyeruuuuuuuuuuu
 

Attachments

  • ARSENAL.jpg
    ARSENAL.jpg
    34 KB · Views: 195
Mhhhh!!!! hii kali kumbe uzi unaweza kufungwa kwa watu wawili tu Mbu na BAK wengine wanatiririka kwa raha zao!? Dah!!! sikulijua hili!!! labda kuna mkono wa Nzi hahahahah lol!!!!



Sidhani kama ni kwa ninyi wawili tu, hata mimi nilishindwa kupost, hao waliopost naona walikuwa kwenye jukwaa la live match kati ya Man shitty na Fat Arses, post zao zimewekwa hapa sasa. Title ya jukwwaa ilikuwa imepigwa mstari.
Poleni kwa kipondo lakini.
 
Last edited by a moderator:
Sorry Gunner

we didn't turn up today and we got what we deserve.

Hatuwezi kuwalalamikia sana waamuzi wa game pamoja na kwamba wamechangia kwa kiasi kikubwa kwenye kupoteza point tatu.

Sikuzipenda Substitutions za Wenger. In fact, Wenger huwa ni mbovu sana kwenye kubadilisha wachezaji.

Mechi tatu za muhimu katika siku sita siyo lelemama.

Lets forget and move on kwa sababu hakuna muda wa kufikiria zaidi. It's gone and we are still on top of the league.

Usiku mwema wandugu.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
Back
Top Bottom