Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Ni Super Saturday
Man City 2

Arsenal 1

Mapumziko sasa!
 
Huku tukiwa tunasubiri wale Matajiri Wa London yaani mabigwa wa Ulaya wa kwanza ndani ya London yani Vijana walio chini ya kocha boraaaa kabisa duniani Yani Jose Mourinho kuingia darajani na kupunguza Ombwe la point na watoto Wa Emarati saa 12 jioni Hali ni mbaya Kwa watoto washika bunduki Wa Mzee Wenger ndani ya Etihad!

Hatoki mtu hapa Leo!
 
2nd Half imeanza

Dakika ya 46

Man City 2-1 Arsenal

Aguero kaumia
 
Dakika ya 50

Man City 3-1 Arsenal............Fernadinho

City wanafanya sub Sergio Aguero anatoka, anaingia Jesus Navas
 
Jukwaa la Michezo linavamiwa sasa.... Ni kama ilivyokuwa Jukwaa la Siasa



Acha hizo weye!

Nasema hivi Leo unapigwa na Chelsea next game tunakupiga na newcastle wanakuchapa!

Yank mpk Jan Uko nafasi ya 3
Na Leo Nataka kupinga na Mods km haitokua hivi mnipe Ribannnnnn la Mwaka mzima!



Nam nam!
Watoto wanakosa nafasi 3 za wazi wanatetemeka miguu mbele ya beki mahiri Vicent Komponi
 
Mko wp mashapibiki Wa Watoto Au Presha?

Siwaoni jukwaani

Arsenal 2

Na city 3
 
1387030209241.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom