Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wanapata nafasi lkn Hawa watot hawajui wafanye nini!

Lalala ni hatari langoni mwa watoto!

Utajiju weye na presha yko!

Hebu wewe kuwa serious kidogo.
Ungekuwa jirani ningekukata makofi....lol.
 
Nasema Ivi! Nakupa mechi 3 kuanzia hii ya Leo lazima uwe nafasi ya 3! Niko hapa jamvini utaniambia!

Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu!
 
Naam! Naam! Naam!

Naona Hali ya watoto sasa wameanza Kua na nguvu km wamekunywa Uji Wa mgonjwa na kupindua matokeo ndani ya Etihad
 
Siku ya kufa nyani miti yote telezaaaaaa!

Goli la pili Kwa City!
 
Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu!
Mkuu genekai huyo jamaa achana naye, yeye yupo kutafutia wapenzi wa arsenal ban.
 
Last edited by a moderator:
Mabeki wa Arsenal wanajichanganya hapa

Negredoooooooo

Dakika ya 39

Man City 2-1 Arsenal
 
Koscielny ameumia vibaya, anatolewa anaingia TV5


Dakika ya 40

Man City 2-1 Arsenal
 
Tatizo lako unaongea sana.! Kwa vigezo gani niwe nafasi ya 3? Mashabiki wa Simba na Yanga utawajua tu!

Nakupa mechi ya Leo na ya Chelsea na Newcastle lazima upoteze! Nafasi ya 3 ni yako baba kuanzia Leo!

Naam! Arsenal Au watoto wanapoteza beki wao mahiri Kwa kuumia na Kutoka nje na linabaki lile beki refuuuuuuuuuuuuu kweli Yani Jerumani! Metusaka!!
 
City wanashambulia......

Arsenal wana Counter attack....Demichellis anaokoa
 
Back
Top Bottom