utasubiri sana
Man piga hao.
Man piga hao.
Pamoja na kuwa mimi ni mpenzi wa kufa wa Arsenal lakini sina budi kuwaambieni wanazi wenzangu wa Arsenal kuwa hii game ni ngumu sana kwetu...siyoni jinsi yoyote ya kushinda hii game zaidi ya kufungwa tu.
Any way mpira ni dakika 90 acha tusubiri tuone...ila ninauhakika hii game tunafungwa tu. Eee Mungu tusaidie!!
Mwenyeezi Mungu jaaliya leo Arsenal washinde na tuzidi kuongoza katika ligi hii
Man piga hao.
Pamoja na kuwa mimi ni mpenzi wa kufa wa Arsenal lakini sina budi kuwaambieni wanazi wenzangu wa Arsenal kuwa hii game ni ngumu sana kwetu...siyoni jinsi yoyote ya kushinda hii game zaidi ya kufungwa tu.
Any way mpira ni dakika 90 acha tusubiri tuone...ila ninauhakika hii game tunafungwa tu. Eee Mungu tusaidie!!
Pamoja na kuwa mimi ni mpenzi wa kufa wa Arsenal lakini sina budi kuwaambieni wanazi wenzangu wa Arsenal kuwa hii game ni ngumu sana kwetu...siyoni jinsi yoyote ya kushinda hii game zaidi ya kufungwa tu.
Any way mpira ni dakika 90 acha tusubiri tuone...ila ninauhakika hii game tunafungwa tu. Eee Mungu tusaidie!!
Uko sahihi kabisa mate...Hii ni mechi ngumu sana kweyu tangu msimu uanze...
Inabidi tuwe makini sana na Silva, Agguero, Toure, Negredo na Nasri...
Game imeanza
Watu hawataki magonjwa ya moyo. Leo hii mtaponea wapi??
Man City wanashambulia kweli
Usikate tamaa mapema wewe ushindi leo upo.
Naona umeamua kuongeza post kwa kuniquote.....Msifarijiane