Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Wewe unasemaje Eti?

Hakai kimya mtu hapa! Saa za game sio mbali subiri uone!

Unachekesha!

Wewe mwanga umerudi na leo............leo niko tayari kulimwa ban lakini nakula sahani moja na wewe, ole wako ulete ujinga wako kama wa usiku ule.
 
Nipo City kwa mkopo ebo mnashangaa nini nani aliwaambia mashabiki hawawezi kuazimwa kwa muda mtashangaa leo sioni mtu wa kumzuia Silva na Aguero.
Haya mkuu. Jiandalie kwa kipigo.
 
Hii game saa ngapi wadau..mi liver naomba mungu arsenal apoteze hii game angalau nimsogelee..

Dua la kuku halimpati mwewe,,,,,,,,jisogeze kutazama nadhani ni kumi kasoro (3:45 pm.)
 
Tukifanikiwa Kupata point 3 muhimu tutakuwa tumejiweka katika sehemu nzuri saana.
All in all ni kwamba in Arsene We Trust.
..COYG..
 
Wewe mwanga umerudi na leo............leo niko tayari kulimwa ban lakini nakula sahani moja na wewe, ole wako ulete ujinga wako kama wa usiku ule.

Duh! Man city 7 Arsenal 0. Na red card Kwa Ateta!

Wewe unalilia ban leo? Jamani Nakupa pole!
Hatishwi mtu hapa na Mimi nakomaa na wewe mpaka wake Hiyo ban!

Wewe, wewe, wewe, Ngoja tuone Leo! Lazima mufungwe vibaya! Yani Ka timu kenu lazima Kawe ndembendembe! Muda wenyewe ushafika subiri uone wewe mtoto Wa Liemba Mfipa!

Teh Teh Teh! Na Mimi na mkwaraaaa wewe!
 
Arsenal lazima apigwe goli..akishinda basi anakuwa bingwa
 
Duh! Man city 7 Arsenal 0. Na red card Kwa Ateta!

Wewe unalilia ban leo? Jamani Nakupa pole!
Hatishwi mtu hapa na Mimi nakomaa na wewe mpaka wake Hiyo ban!

Wewe, wewe, wewe, Ngoja tuone Leo! Lazima mufungwe vibaya! Yani Ka timu kenu lazima Kawe ndembendembe! Muda wenyewe ushafika subiri uone wewe mtoto Wa Liemba Mfipa!

Teh Teh Teh! Na Mimi na mkwaraaaa wewe!

Haya nitakuwepo hapa...
 
Naaam watizamaji Kwa Mara nyingine tena yule kocha Wa kufufua vipaji Au Mwalimu Wa watoto atakua na kibaruaaa kigumi dhidi ya Vijana mahili Vijana Wa dozi 7 si wengine Bali ni Vijana Wa Etihadi! Leo hapewi mtoto pipi anapewa Makande!
 
Pamoja na kuwa mimi ni mpenzi wa kufa wa Arsenal lakini sina budi kuwaambieni wanazi wenzangu wa Arsenal kuwa hii game ni ngumu sana kwetu...siyoni jinsi yoyote ya kushinda hii game zaidi ya kufungwa tu.

Any way mpira ni dakika 90 acha tusubiri tuone...ila ninauhakika hii game tunafungwa tu. Eee Mungu tusaidie!!
 
Pole sn Mkuu! Jipe moyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom