Thats why it is called a Champions League you need to beat best teams to triumph..
hamna uchochoro...
Man U na Chelsea wao wamezoea vibonde ndio maana wanatushangaa wanaume tunapangwa na wanaume. :tape:midomo yenu
Thats why it is called a Champions League you need to beat best teams to triumph..
hamna uchochoro...
Man U na Chelsea wao wamezoea vibonde ndio maana wanatushangaa wanaume tunapangwa na wanaume. :tape:midomo yenu
Punguza pumba ,ManUnited na Chelsea wameshachukua huo ubingwa wewe endelea kuwa msindikizaji
Sasa Mkuu mbona unakariri soka, kwahiyo unafikiri Arsenal hatokaa achukue huo ubingwa? Football is beyond your thinking
Usilikimbie Jukwaa tu hapo badae!! I note you!!Kwa Mara nyingine tena ile timu ya watoto Au km wajulikanavyo wapotezaji Leo tena watakua uwanjani Etihad kukamirisha ratiba Yao ya upotezaji chini ya Kiongozi wao Wa uchumi!
Mashabiki Wa Watoto kaeni mkao Wa Presha!
Asante
Usitumie nguvu zako kumjibu huyo. Achana naye atakaa kimya.Usilikimbie Jukwaa tu hapo badae!! I note you!!
Usilikimbie Jukwaa tu hapo badae!! I note you!!
Usitumie nguvu zako kumjibu huyo. Achana naye atakaa kimya.
Ndio,ni ile inayoongoza EPL mpaka sasa!Juzi tu niliwambia mnapigwa mkawa mnabisha sasa na Leo Eti mnasema ntakimbia!
Ivi nyinyi mna timu kweli?
Nendeni mkashirikiane kumtibu RVP,manake hali ni tete!Wewe unasemaje Eti?
Hakai kimya mtu hapa! Saa za game sio mbali subiri uone!
Unachekesha!
Ndio,ni ile inayoongoza EPL mpaka sasa!
Nendeni mkashirikiane kumtibu RVP,manake hali ni tete!