Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Pamoja na kuwa mimi ni mpenzi wa kufa wa Arsenal lakini sina budi kuwaambieni wanazi wenzangu wa Arsenal kuwa hii game ni ngumu sana kwetu...siyoni jinsi yoyote ya kushinda hii game zaidi ya kufungwa tu.
Any way mpira ni dakika 90 acha tusubiri tuone...ila ninauhakika hii game tunafungwa tu. Eee Mungu tusaidie!!
Uko sahihi kabisa mate...Hii ni mechi ngumu sana kweyu tangu msimu uanze...
Inabidi tuwe makini sana na Silva, Agguero, Toure, Negredo na Nasri...
Game imeanza