Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fuller - We will get physical

Stoke striker issues Arsenal warning

"When you play physical against them, you often win. Chelsea always do it and they always beat them".


naona siri inajulikana vizuri lakini wenger bado tu hana plan b ya kudili na game kama hizi na this one will be a tough one to win it too watch.
 
we kweli una ndoto za ali nacha kama za huyu babu si ajabu ukachukua na jina lake, man city wamewafunga arsenal already in the premier league na wale pia walikua watoto au pia kombe hilo pia hawalitaki. in reality the average arsenal squad is 24-23 in most games so dont put excuses. Atumi watoto bali ana depth kwenye squad.

Man city na chelsea wao hiyo desturi ya kukuza talent kwao hiyo amna hivyo utegemei waweke watoto na vile wanahitaji kombe to justify their spending any will do.

tazama wenzao hawa watoto hata wangecheza na watoto wa Man U, ingekua tundu. mchezaji kama welbeck, Raphael, Nani au yule mtoto wa kitalioano sina uhakika na jina vizuri something like Macheba. Wangekua arsenal ni regulars on the squad. Timu ni mbovu tu na aina depth.

Kama kombe angekua alitaki asinune basi, no ana ndoto za kuamini kwamba ana uwezo wa ku win titles na watoto. Na ukweli wenyewe kila wakifika stage za kukutana na premier league ndio unakuwa mwisho wao wa ktk hili kombe. Hii ndio henri akaanza, fabregas only loyalty ndio inamuweka god knows for how long and asharvin has already expressed his feelings spending is needed. arsenal need experience now angalia the january transfer market utajua amekubali ukweli.

Sunderland 1 Arsenal 0 kisa van persie out of the team huu upuuzi inabidi uishe. Labda uiwelewe Premier League Vizuri. This season its either Arsenal or Liverpool one is going to lose on the top four sports, whatch this space.

mkuu ndio maana nikasema naona hujui historia yetu ya carling cup sasa umeleta issue ya premier league kufungwa na man city kama ungekuwepo siku ya hile mechi ungeona kwamba tulikubali tumefungwa na tulizidiwa kimchezo sasa tatizo liko wapi? huwe unakuja mara kwa mara mkuu na utaweza kujua kinachoendelea.

spending is needed kwa vile van persie kaumia offcourse u need someone.kuhusu liverpool au arsenal to be out of top 4 thats ur opinion na inaweza kutokea au hisitokee.kama wewe imekuuma sana au umefurahishwa kwa arsenal kufungwa carling cup hio ni kwako mimi hainusumbui akili kwa vile najua jinsi Wenger anavyolitumia kombe la carling cup.

ukitaka kuona reaction zangu kwenye mechi tulizofungwa premier league rudi kurasa za nyuma na utaweza kuona maneno yangu na yako yapo pamoja.
 
aisee sisi kweli tunajua kupoteza nafasi zetu muhimu.tuombe tu tuendelee kushambulia.

Mkuu umeisona ile ya Eboue...." What an astonishing piece of defending from Eboue - on his opponent's goal line! Fabregas fires a shot into a seemingly empty net with Sorensen stranded, but inexplicably, Eboue blocks the shot of his team-mate on the line! "?
 
Mkuu umeisona ile ya Eboue...." What an astonishing piece of defending from Eboue - on his opponent's goal line! Fabregas fires a shot into a seemingly empty net with Sorensen stranded, but inexplicably, Eboue blocks the shot of his team-mate on the line! "?
bahati mbaya mkuu hile sema na mlaumu kwa kutokuwa makini zaidi.tunacheza vizuri lakini bila kutumia nafasi zetu haina maana yoyote.tunaweza kuwa disappointed leo kama wakiendelea kupoteza nafasi za wazi kama kipindi cha kwanza.
 
_46862693_gol_pa.jpg


 
Hongera wakuu naona leo wkend inaenda vema usindi tayari na zile tatu muhimu kama kawaida.

Arsene Wenger anachekelea tuu, Mbu vipi ata leo hatokei kushangilia au shemeji amemzuia kuingia hapa?
 
Tomas Rosicky ruled out "for a while" with groin injury
Arsenal manager Arsene Wenger has revealed that midfielder Tomas Rosicky faces another lay-off after he suffered an injury in the 2-0 win over Stoke.
Czech international Rosicky, 29, has endured a torrid time with injuries and only made his comeback in September after 20 months out of action.
Rosicky was substituted at half-time of Arsenal's win and Wenger confirmed the midfielder has a groin problem.
"Rosicky is going to be out for a while," the Arsenal boss admitted.
Wenger also saw Emmanuel Eboue and defenders Armand Traore and William Gallas pick up injuries during the match.
Eboue left the field nine minutes into the second half and Traore came off with just two minutes of normal time to go.
Wenger said: "We're hopeful that Eboue, Gallas and Armand Traore are not too serious."
The latest casualties add to a growing injury list at Arsenal that also includes striker Eduardo da Silva, who was not fit enough to be in the squad to face Stoke.
However, Wenger feels the the Croatia international will shrug off the thigh problem to return next week.
The Gunners are already without Robin van Persie (ankle), Nicklas Bendtner (groin), Gael Clichy (back), Theo Walcott (hamstring), Abou Diaby (calf), Kieran Gibbs (ankle) and Johan Djourou (knee).
Nashindwa kuelewa kwa nini wachezaji wetu ni wepesi kupata majeruhi? pengine ni training methods ama? inakuwa so frustrating mchezaji kucheza mechi 2 ya 3 anarudi wodini.
 
Nashindwa kuelewa kwa nini wachezaji wetu ni wepesi kupata majeruhi? pengine ni training methods ama? inakuwa so frustrating mchezaji kucheza mechi 2 ya 3 anarudi wodini.
wachezaji wenyewe wanacheza kilaini laini sana ndio maana inakuwa rahisi kuumia kwenye tackle ndogo ndogo kwa vile hawakazi miguu.
 
Heheh naona mganga wa Chelsea safari hii hataki mchezo msimu huu duh, sie (Man Utd) mabeki wote wagonjwa hapa kwa watani naona kitengo cha ushambuliaji kazi kweli kweli.
Haya Wenger amesema mum-text majina ya wachezaji.

Arsene Wenger has conceded it may be no coincidence that Arsenal have suffered from persistent injury problems, even if he has not diagnosed the reasons behind the club's fitness issues.

The Gunners have seen a succession of star names suffer long-term injuries in recent seasons with Robin van Persie and Kieran Gibbs the latest victims. In addition, William Gallas (hamstring), Emmanuel Eboue (muscle), Armand Traore (hamstring), Andrei Arshavin (ankle) and Tomas Rosicky (groin) all picked up injuries in Saturday's win over Stoke City.

Rosicky - who spent 18 months on the sidelines before returning to action at the start of the season - is now expected to be out for up to a month and Wenger is growing frustrated at the constant physical setbacks suffered by his side.

"We pick up more injuries than the other big teams, that is true," Wenger said. "You cannot say there is not a reason for it but we have not found it yet.

"It's the worst season for injuries for us. And they are all in the same area - in the offensive side. Last year it was in the defensive side."

"He's devastated and I am as well," Wenger said regarding Rosicky. "It's a vicious circle when you have been out for a long time. Eduardo had not played for 18 months, Tomas has not played for 18 months. When you come back, one or two games, your body has to get used to producing the energy levels again and it's difficult. Nobody masters that."

Arsenal were forced to field Arshavin as an emergency striker against Stoke and Wenger has already admitted he may have to enter the transfer market as he looks to replace Van Persie. But Real Madrid's Ruud van Nistelrooy, who was a hate figure amongst Arsenal fans during his time with Manchester United, is unlikely to move to North London.

Wenger said: "It would not be the best of starts, bearing in mind our past relationship! You have my number - you can text me all the names you find!"

Former Arsenal skipper Patrick Vieira, who had a number of scrapes with Van Nistelrooy and was dismissed following a clash with the Dutchman in the 2003-04 season, is also unlikely to return to the club, even if Wenger did show an interest in his compatriot over the summer.

"Vieira is not a striker," Wenger said. "I don't think we suffered in midfield (on Saturday) and we have (Abou) Diaby who can come back next week. I don't believe we are especially short there, but we are up front."
 
Nashindwa kuelewa kwa nini wachezaji wetu ni wepesi kupata majeruhi? pengine ni training methods ama? inakuwa so frustrating mchezaji kucheza mechi 2 ya 3 anarudi wodini.

Mara nyingi hii inasababishwa na vitu vingi.
1. Training methods kama ulivyosema hapo juu
2. Uwanja wanaofanyia mazoezi kutokuwa katika hali bora
3. Incompetent medical staff

AS Roma nao walikuwa na tatizo kama hilo la Arsenal. Yaani wao ilikuwa ndio balaa zaidi kuliko hata Arsenal. Baada ya uchunguzi ikagundulika namba 3 was the main problem.
 
Back
Top Bottom