Jamani mpo? Natuma salamu zangu za dhati kwa rafiki yangu Balatanda popote alipo ....mwambieni matokeo, Arsenal 1 Liverfool 0
Teh teh..Mi nipo bwana sikimbii na kulitelekeza jukwaa kama wewe,kama kawaida yangu nasubiri dakika 90..Liverpool hawajacheza game ya kutisha sana so twaweza kusawazisha 2nd half na kuongeza pia
bora angeanza eboue kuliko walcott dogo sijui lini atapata confidence na akili ya mpira.
Muingize timu ya wakubwa labda ndugu yangu! Umeona penalty mlivyobebwa?
naona umepata nguvu za kuingia humu .thank mtm a.k.a glen johnsonmambo wakuu? mpo?
niliwakaribisha wodini naona msipoangalia you will stay here for looong time, sie tushazoea
naona umepata nguvu za kuingia humu .thank mtm a.k.a glen johnson
We keeping rolling
not hating
torrential rains predicted!!! hahaaa