Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

13745_186x236.jpg

[h=3]Mesut Özil[/h]Sluggish and off-the-pace. Struggled to get on the ball and, when he did, failed to use it with his usual precision.

kilaza wa mechi
 
Duh! leo naona watu wamefufuka aisee walikuwa wametoweka kweli!
But anyway hongeren watu wa Manure kwa ushindi.
 
wewe unatokea pandi zipi?
Leo kila mtu amefufuka kutowa pole hata Mossad amekuja, sawa ligi ngumu leo sina maneno lakini sikiliza maneno yangu
RVP huu ndio msimu wake wa mwisho kuifunga Arsenal hata Rooney leo alimshangaa lakini mimi ninasema huu ndio msimu wake wa mwisho kuifunga Arsenal msimu unaokuja utakuja kunieleza
Mbona maneno mengi hivyo?
 
1463709_580413388695987_2036149105_n.jpg
994643_10151749211768342_414519172_n.jpg
1422502_678448152188601_1009073087_n.jpg
 
Napita tu kuna mtu nilikuwa namtafuta nimemkosa.
 
Niendelee kusubiri swahiba?

Mara ya mwisho ARSENAL kumfuga MANCHESTER
UNITED pale OT
- Rais wa Tanzania alikuwa Mkapa
- TBC ilikuwa inaitwa TVT
- Diamond alikuwa anaitwa
NASIBu DOMO wa TANdale
- Scandinavia ndo yalikuwa
Magari ya Kijanja
- Kulikuwa na shilika la ndege la
AIR TANZANIA
- Misanya BiNG ndo alikuwa
Presenter mkali Bongo
- Nauli ya mwanafunzi ilikuwa 50.
- Yahoo & MSN ndo ilikuwa
mitandao maarufu
- Nick Minaj alikua Flat kama
muhndi
- Nokia 3310 ndo ilikuwa Latest
Phone
- The bold and the beautful days
ndo zilikuwa Tamthilia kali
- Osama alikuwa Mapangoni
- Kulikuwa na CTN TV
- Airtel iliitwa CELTEL
- Kim Kardashian alikua BIkRA
**nimeitoa hukooo

..... King'asti wewe ushabiki wako Arsenal ikifungwa tu?!....
Haya, subiria 2nd half...
 
Last edited by a moderator:
Ushabiki wako Arsenal ikifungwa ndio unatokezea, siku zote ulikuwa wapi?
Sishangai wengi humu walikuwa wakiotea sana wakisubiri Arsenal wapoteze gemu ndio waje humu na leo tumewaona, ninachoomba mupite humu kutowa heshima wakati Arsenal wakishinda, kumbe inawauma Arsenal ikishinda, leo muna furaha sana haya shangirieni lakini furaha yenu inaonekana kama ya muda mfupi
Niendelee kusubiri swahiba?

Mara ya mwisho ARSENAL kumfuga MANCHESTER
UNITED pale OT
- Rais wa Tanzania alikuwa Mkapa
- TBC ilikuwa inaitwa TVT
- Diamond alikuwa anaitwa
NASIBu DOMO wa TANdale
- Scandinavia ndo yalikuwa
Magari ya Kijanja
- Kulikuwa na shilika la ndege la
AIR TANZANIA
- Misanya BiNG ndo alikuwa
Presenter mkali Bongo
- Nauli ya mwanafunzi ilikuwa 50.
- Yahoo & MSN ndo ilikuwa
mitandao maarufu
- Nick Minaj alikua Flat kama
muhndi
- Nokia 3310 ndo ilikuwa Latest
Phone
- The bold and the beautful days
ndo zilikuwa Tamthilia kali
- Osama alikuwa Mapangoni
- Kulikuwa na CTN TV
- Airtel iliitwa CELTEL
- Kim Kardashian alikua BIkRA
**nimeitoa hukooo
 
Booooommm...leo tumemuwowa mke wetu...

Cc: BAK Balantanda Wacha1 makelele alikuwa anaweweseka toka jana..alijua atakachopata kutoka kwa mme wake...
Hongereni sana kwa ushindi......

Bahati mbaya sikuweza kuiangalia mechi hiyo.....

Na haya ni matokeo kama yalivyo matokeo mengine.......

COYG......
 
Duh! mfarisayo unaua kabisa...naona wenyewe wamekimbia kwao...

Wapi BAK Balantanda kashengo MwafrikaHalisi Shadow Nyaluhusa87 Piere. Fm Mutambuki Likwanda MpigaKelele Ng'wamapalala Ulimakafu godsonswai

Wote kimya....

Mm* wenu akiwa hapa, muwe na adabu.
Chifu naona unashangilia kama ndo safari imeisha vile.......

Haya ni matokeo ya kawaida kabisa kwenye soka.....

Hongereni sana kwa ushindi......

Bahati mbaya sikuweza kuiangalia mechi hiyo.....

Na haya ni matokeo kama yalivyo matokeo mengine.......

COYG....

Hongereni sana #TeamMburukenge .......
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Duh! mfarisayo unaua kabisa...naona wenyewe wamekimbia kwao...

Wapi BAK Balantanda kashengo MwafrikaHalisi Shadow Nyaluhusa87 Piere. Fm Mutambuki Likwanda MpigaKelele Ng'wamapalala Ulimakafu godsonswai

Wote kimya....

Mm* wenu akiwa hapa, muwe na adabu.
Chifu, mbona kelele nyingi?. Ninaamini unafahamu tabia ya kabumbu. Kuna kushinda na kushidwa.

Kwa leo sina budi kukupa pongezi kwa kunusa nusa kilele cha league kutoka sijui nafasi ya ngapi kule chini mpaka ya tano.

Yes, we missed a great opportunity to take three points back to Highbury.

Naona mfarisayo kama vile macho yamefunguliwa na hakutegemea kama Manu U wanaweza kuchukua pointi tatu.

Mpe salamu zangu na mwambie mechi haikuwa ni fainali bali ni league yenye michezo 38 na kwa sasa michezo 11 tu imeishachezwa huku Manu U wakiwa wa tano kwenye meza ya ushindi.
 
Mkuu huna haja ya kuwakumbusha United kuwa ni League na hata ungekuwa mechi ya 7 na tupo nyuma sawa tu labda kwa upande wenu ninyi, maana sie ndo kawaida yetu.
Kwa sasa kuelekea January ndo kipindi ambacho mnapaswa kuiogopa M.United zaidi ya chochote. H
 
Last edited by a moderator:
Nilisema kabla Rooney hatuvurugii tena rekodi hiyo imetimia (hakufunga goli)...ingawa "kikulacho"-RVP katutibulia. Hongereni Manure kwa matokeo hayo. Ila kuna taarifa zisizo rasmi (naendelea kuzifuatilia) kuwa Alex Fergie anahusika katika upangaji wa kikosi cha Manure kwa remote iitwayo Moyes. Mwanzoni remote ilikuwa inagoma kubonyezwa na Alex lakini baada ya mafundi (Uongozi wa Manure) kuirekebisha inafanya kazi vizuri mikononi mwa Alex...
 
Wadau tumefungwa ile game kuna mambo niliyaona kabla ya game..baada ya kabla ya game kujua kuwa Rosicky hachezi na per mertsacker nikajua ugumu upo tena sana..kwa nini jamaa niliona kikos chao kati kuna phil jones na huyu jamaa kazi yake ni kutibua tu na msimu uliopita alimkaba christiano Ronaldo kule bernabeu mpaka akapotea mchezoni...rosicky alipata flu na per ila rosicky ni very quick midfielder and good passer na technical brilliant pia..na jana kwa ukabaji wao angewaletea shida sana na foul zingekuwa nyingi ila ni ngumu sana kumpoteza rosicky...per yeye ni mzuri sana kwenye aerial threat hasa kwenye set pieces balls..na ndio beki tulienae pekee anaeweza kuzikaba zonal marking kwenye hizo set pieces..

kwa mujibu wa wyne Rooney alisema baada ya game ya jana kuwa walijua kuwa ingekuwa ngumu sana kuwafunga Arsenal kwa clear chanses wakafanya practice ya kuwavamia kwenye kona kwani Arsenal wachezaji wao wengi wafupi kulinganisha na Manure..ikazaa matunda

phil jones alipokwenda kuwa beki wa kati pale kati tukafufuka kwani dogo anakaba sana..kwangu ndie Man of the match...

All in all mechi tatu mfululizo tumecheza na combinesheni ngumu sana za washambuliaji kama...sturridge na Suarez...Marco Reus na Lewandoski...na Wyne Rooney na Robin Van Persie..na tumeruhusu bao moja...tena la Zonal Marking...defence yetu ime improve sana...

Rosicky na per ni muhimu sana..
 
Waache waendelee na sherehe ya ushindi mkubwa,it seems hawakutegemea kabisa!
 
Back
Top Bottom