Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Hahahahahaha! Raha tupu, mchumba tumechukua!
Hakuna excuse, same old Arsenal, kipa hawezi kucheza krosi, hatuwezi kucheza free-kicks na kona. Kwa kweli inauma sana. Anyway ubingwa tusahau kama kawaida nafasi zetu ni ya 3 ama 4.
Nilikuwa nasubiri kuona watoto waki-switch kama ulivyoahidi, lakini wapi sioni kitu....naona wanaangukaanguka tu!
Anyway, ni vizuri umejua nafasi zenu kwenye PL kwamba ni 3 na 4.
Poleni sana.